Hotuba yake itajaa story za safari zake na namna Tanzania ilivyoahidiwa misaada na wajomba zetu huko ughaibuni huku akiwabeza wapinzani kuwa "halafu wanasema hatufanyi kazi!" Ngoja tumsikie....
Ulale mahali pema Ndg yetu Daudi Mwangosi. Tunaojua ulivyodhurumiwa,daima tutakukumbuka kwa namna yoyote kama wengine walivyojenga mnara kushuhudisha dhuruma dhidi yako, familia yako na ndugu zako!
he! Umeshasahau kuwa "mgema akisifiwa, tembo hulitia maji?"
Prof. Mhongo ni mzuri, ila mfumo wa serikali yetu ni hovyo mno, umemchafua Prof. wa watu kuwa Mwongo!
Duh! Ni muhimu tusome vizuri neno la Mungu (Biblia), na kanisa sio jengo bali ni mkusanyiko wa waamini ambapo hata Yesu alijumuika katika mikusanyiko hiyo. Lakini pia hekaluni (mjengoni = kanisani) alikuwa akienda, ila mahekalu hayo yalikuwapo hata kabla yeye hajaja.
Kwa msaada wa Mungu, aendelee kumtafuta wa kwake ambaye naye ana kitu cha 2.8 inches. Mungu ni mwaminifu, haiwezekani aumbe inchi 2.8 za mmoja bila wa kufanana naye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.