Mnaenda kupigwa shitukeni watu walishapigwa uko kitambo, ni mtu anaandaa system yake na pesa zake kama million 4-7 inakuwa mtaji.
Alafu mnaaminishwa kwa kutoa faida kwa level fulani, ikifikia mda watakuja na ofa kuwa level fulani kama unatakiwa kuingia na kiasi fulani basi leo ni offer utakiwi...
Umejaribu kuangalia hapo kuna chini huo muongozo wa rangi na umiliki wa mataifa kwa wakati huo kuna wareno,waingereza,wajerumani wamegawanyika kwa rangi zao na mipaka yote imepita pwani ya ziwa, sijaona hata Malawi ikiwa imezidi rangi na kwenda pwani ya tanzania.
Mkuu kwa maana hiyo hata ziwa tanganyika hatuna haki ya kumiliki ziwa lile kwa ramani ulioituma huru. Na amna mtu ambae anamiliki, ziwa kwa ramani hiyo uliotuma sio ziwa nyasa wala tanyanyika.
M
Mkuu hebu angalia ramani tena amna anaemiliki ziwa tanyanyika wala nyasa maziwa yote mipaka imepita nje ya ziwa, kwa swala hilo mipaka yote ipo katikati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.