Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,973
- 7,331
Nina mpango nichimbe kisima newala mkoani mtwara ila sasa nikifikiria kuwa je survey ikitoa majibu kuwa ni mita 250 si itakuwa mtihani?
Dar visima vimesaidia vyoo na karo kutokujaa haraka kama zamani, siku hizi hawapo wapakuwa vyoo kwani maji yote yanakwenda kwenye visima.Dar mkuu kuna visima vya mita 30-140 ina inategemea na sehemu ulipo l eneo lako lipo wapi mkuu ?
Mkuu1.Hivi mud rotary kwa mkoani aiwezekani
2. Mkoa kama iringa mud rotary
Ni connect na waliokuchimbia mkuuMita Tshs 50000/= pia Ikiwa Kuna Mwamba Bomba Haziwekwi Mpaka Chini
Gharama Zote Mpaka Maji Yanatoka Sasa Mwaka Wa 3 Majira Yote Ilikuwa Millions 5
NaamIInategemea na mkoa
Mkuu