Recent content by Gari

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda likizo, harusini, sikukuu nyumbani kwenu unapanda bus la kampuni gani

    Mimi siendi popote nipo home na babu bibi baba mama... :-)
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni full Mitumba...........

    Nchi haizalishi kitu....unategemea nini..kama ni nguo labda wote wavae khanga na vitenge.. ..mtumba ni kile kilichotumika tayari nje ya nchi..sasa kama si mtumba basi ni Mchina Twafaaaaaaaaaaaaa
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NGOMA ZETU: Mchiriku jamani, balaa......

    mchiriku mnanda na mdundiko..ni mule mule?..
  4. G

    JamiiForums Tanzania Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

    mtoto wa kiume full kulia lia eti sugu amenipigia mzigo...SUGU SUGUA SUGUA...lazima upo weak thus why demu kakukimbia ..jiulize sana mzee...tafuta kicheche za secondary mi naona ndio class yako na sio shoka kama shy
Back
Top Bottom