Recent content by GARETHBALE

  1. G

    Barua yangu kwa Zitto Kabwe

    BARUA YANGU KWA ZITTO. Kwako Zitto, Habari za siku tele?Ni miaka tele hatujaonana.Kutokuonana kwetu haikuzuia sisi kuwasiliana,simu na barua pepe zimerahisisha sana mawasiliano yetu. Mimi ni mzima wa afya.Naendelea na majukumu yangu ya kilimo na ufugaji.Nikipata wasaa nitafika Dar es salaam...
  2. G

    Rais Magufuli, Bashiru wagonga mwamba, walazimisha maamuzi yao kupita bila pingamizi, NEC wagoma kuburuzwa

    Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba. Tayari wanaCCM nchini kote wamewashangaa Magufuli na Bashiru kwa kukiuka kanuni za ccm na kutoa maazimio yao...
  3. G

    CCM kunawaka moto, wakubwa waanza kulaumiana issue za Musiba, Mangula

    Hali tete kwenye viunga vya ccm. Taarifa za uhakika kutoka ofisi kuu ya chama hicho zinasema Wakubwa wanalaumiana na hata wengine kufikia hatua ya kukata tamaa. Utumikaji wa Musiba tokea mwanzo wa awamu hii, kumepelekea mpasuko mkubwa ndani ya chama hicho. Kilichomtokea Mzee Mangula siku ya...
  4. G

    Nape amsaliti rasmi Benard Membe

    Salam Salam!. Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi...
  5. G

    Turudi kwenye mstari juu ya hali tete ya Mzee Philip Mangula

    TUHARAKISHE KUWACHANGIA CHADEMA ILI TURUDI KWENYE SUALA LA SUMU NDANI YA MWILI WA MZEE MANGULA. Taarifa ya Kamanda Mambosasa bado inakera kwenye vichwa vya wengi! Tunataka taarifa ya Madaktari wa Muhimbili. Tunataka wale wote waliokuwa na Mzee Mangula wakati anatoka jasho na kudondoka...
  6. G

    Ushauri wa Bashiru kwa Membe na maana yake

    Hii tuanze tu hata bila kusalimiana wala kuzingatia itifaki maana sasa kila mwananchi ana maswali mengi kuliko majibu hivyo salamu na itifaki hazisaidii kutafuta majibu ya maswali vichwani wa wananchi. Tujiulize; Bashiru anashauri Membe ajiunge na upinzani na huko akagombee urais. Sasa kwa...
  7. G

    NYARAKA: Mahakama ilivyotupilia mbali mapingamizi ya Cyprian Musiba kwenye Kesi aliyofunguliwa na Membe

    TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA ILI WASIJE KUSEMA HATUKUWAAMBIA.NA HIVI NDIVYO MAHAKAMA ILIVYOTUPILIA MBALI MAPINGAMIZI YA CYPRIAN MUSIBA KWENYE KESI ALIYOFUNGULIWA NA MH.BERNARD MEMBE.
  8. G

    Mapingamizi ya Musiba kwenye kesi yake dhidi ya Membe, yatupwa!

    Kesi ya Bernad Membe dhidi ya Musiba kusikilizwa tar 31 Machi, 2020 hii ni baada ya mapingamizi ya awali yaliyokuwa yamewasilishwa na Musiba na wenzake kutupwa na Mahakama Kuu. Leo tar 27 Desemba, 2019 Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi dhidi ya mapingamizi matatu yaliyokuwa...
  9. G

    Maendeleo bila furaha na amani ni kazi bure. Membe njoo utuokoe Watanzania

    Pamoja na maendeleo ya vitu yanayoendelea TANZANIA, wananchi wake wapo hoi, hawana furaha, hawana amani, tunakuomba Bwana Membe uje utuokoe Watanzania tunateseka ndani ya nchi yetu.
  10. G

    Bollen Ngetti apatikana huko Segerea

    HOJA TATU CHANZO CHA KUKAMATWA/KUTEKWA BOLLEN NGETTI. Bollen Ngetti, Mwanaharakati na Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, aliyetekwa tarehe 23/12/2019 siku ya Jumatatu na watu wasiojulikana, kapatikana leo maeneo ya Tabata Segerea baada ya kuachiwa huru na watu hao wasiojulikana. Bollen...
  11. G

    Maelezo ya Nyerere kwa Gen. Kombe na Membe kuhusu Jack Gotham

    MAELEKEZO YA MWL.NYERERE KWA JEN. KOMBE NA MEMBE KUHUSU JACK STEVEN GOTHAM. Karibuni tena kuungana nami kati "series" na "episode" namba sita inayoelezea wasifu na historia ya mseminari, kachero, mwanasiasa, kiongozi na mwanadiplomasia Bernard Kamilius Membe. Lakini kabla sijaendelea na...
  12. G

    Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Tunaitaka Tanzania yenye furaha na amani, tunaitaka Tanzania ile yenye viongozi wanaoheshimu sheria na katiba ya nchi yetu, Tanzania iliyosifika kwa uimara wa diplomasia na Ushirikiano wa kimataifa , Tunaitaka Tanzania yenye viongozi wanaohezhimu wananchi wake, viongozi wanaoheshimu utu na...
  13. G

    Balozi Jaka Mwambi alisahaulika kabla ya mauti kumkuta

    BALOZI JAKA MWAMBI ALISAHAULIKA KABLA YA UMAUTI KUMFIKA. Nichukie fursa hii kuwapa pole familia,marafiki, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na watumishi wote wa umma waliowahi kufanya kazi na marehemu Balozi Jaka Mwambi. Balozi Jaka Mwambi sio jina geni kwenye masikio ya wengi.Wazee wa rika...
  14. G

    Tanzia: Balozi Jaka Mwambi amefariki dunia leo

    BALOZI JAKA MWAMBI ALISAHAULIKA KABLA YA UMAUTI KUMFIKA. Nichukie fursa hii kuwapa pole familia,marafiki, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na watumishi wote wa umma waliowahi kufanya kazi na marehemu Balozi Jaka Mwambi. Balozi Jaka Mwambi sio jina geni kwenye masikio ya wengi.Wazee wa rika...
  15. G

    INAUZWA Kutana na dalali wa nyumba na viwanja jijini Arusha & Dar es salaam

    NahitJi flem Maeneo y goba 0768208713 fadter
Back
Top Bottom