Recent content by ganzi ngumu

  1. G

    Walimu wapewe posho ya kufundishia

    nimefuatilia huu mjadala, nimeelewa kama ifuatavyo: wanaotetea walimu wawe na moyo wa wito ni wanawake km id zao zinavyoonesha sbb wao hawabebi majukumu ya kifamilia kwa 100% sbb mume yupo hivyo kale kamshahara kake kaambiwa atumie kwenye cosmetics na viwalo vyake vya kujia kazini(shuleni),mfano...
  2. G

    Hivi kwanini watu wengi huwa wanaacha kazi BOT?

    inaonekana huyo jamaa yako alikuwa na ndoto ya kuja kuwa lecturer ktk maisha yake, hivyo alipopata udom ndipo ndoto yake imetimia, hakubabaika na mkwanja wa BOT. Si kingine zaid ya hicho!!
  3. G

    Milambo high school alumni

    oyaa! room langu hilo umelitaja hapo sokoine mimi ni yule mzee wa maktaba PCB man from DSM, wewe ni nani?
  4. G

    Basi la FM Safari limegongana na Lori maeneo ya Mikumi

    Hilo basi linaitwa FM SAFARI, linalofanya safari zake from DAR to MBEYA, kifupi ni kwamba hili ni pigo la pili kwa route hiyo baada ya MAJINJAH EXPRESS, na mwenye kampuni hii nahisi ndiyo kwanza anaanza biashara maana kampuni hii sidhani kama mwaka kamaliza tangu aanze biashara hii.
  5. G

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo halmashaur ya wilaya ya BAGAMOYO, nahitaji kubadilisha kituo cha kazi kutoka hapa nilipo kuja DSM wilaya yoyote, idara SEKONDARI.
  6. G

    Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

    mkuu felix umesema hapo awali kwamba katika biashara hii usipokuwa makini unaweza kuteketeza familia yako, kivipi? Halafu naomba kujua ni kiasi gani cha pesa angalau unatakiwa kuwa nacho kama mtaji, hii ina maana pesa ya kununua mzigo na nauli zote mpaka thailand?
  7. G

    Kwa nini umechagua Shahada ya Ualimu?

    I Like It!! U are actual great thinker.
  8. G

    Vyuo vya kikatoliki

    bahati yako nimefunga, ningekupa tusi moja la tani 50 ili uwe na ustaarabu siku nyingine, unaizungumzia MUM hivyo lengo lako nn?
  9. G

    Sponsorship

    angalia website ya wizara ya elimu, zinatangazwa sana hasa kuanzia september mpaka february.
  10. G

    Walimu hawajalipwa malimbikizo ya madeni

    huna lolote wewe, watu wenye kazi zao wako busy na kazi si kufuatilia maisha ya watu na kuwa na majungu, fitina na wivu kama wewe, we endelea kupigika kitaa tu na vyeti vyako mpaka viliwe na mchwa lakini ajira hakuna, labda ajira utakayoipata ni ya ushoga tu!!
  11. G

    Walimu hawajalipwa malimbikizo ya madeni

    kwa kuwa wewe upo kitaa bila ya ajira, wivu umekujaa kwa walimu wanaojilia mishahara yao kiulaini!! utaishia hivyohivyo kusugua benchi kitaa nyau wewe!!!
  12. G

    Hivi mtu kuwa Cream inamaanisha kuwa na First Class au Upper Second?

    usijipe moyo ww! m2 mwenye gpa kubwa c mwenzako, sababu yeye ana fulsa kubwa ktk kupata vitu vinavyohusiana na elimu, kwa mfano mbali na ajira ana nafasi kubwa kujiendeleza kielimu ndani na nje ya nchi, mfano angalia scholarship zinazotolewa wanataka nn?
  13. G

    Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

    we mbwisi onaonekana kiroho kinakuuma wenzako kupata ajira eeh! sasa we endelea kupigika kitaani halafu baadae nije nikuoe kwa sbb nitakuwa nina uwezo wa kukuhudumia ww na familia yako hata km me!
  14. G

    Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

    kaka achana nae huyo bado ana ulimbukeni wa first year, akifika semister ya 4 second year ataheshimu wakubwa zake baada ya kupata supp za kutokosha na hapo ndipo atajitambua!
Back
Top Bottom