Tofauti ya maneno haya kwenye taaluma ya macho ni nini?
1. Optician
2. Optometrist
3. Ophthalmologist
● Je, optometrist anaweza kua ophthalmologist?
● Kwa hapa Tanzania ni vyuo vipi wanatoa izo course & kwa hapa TZ ipi ina soko zaid optician, optometrist, ophthalmologist
Habar za muda huu wakuu!. Kama inavyoonesha hapo juu kwa izo brand 3
1. SKYWORTH
2. TCL
3. HISENSE
nichague ipi kwa ajil ya matumiz yangu ya gheto .bajet yangu ni TV [emoji342] ya inchi 50.
Mimi napenda vitu vizuli na Nilitaman kumilik moja kati ya izi brand kwenye upande wa TV.
1. SAMSUNG...
Vip hii kitu ishawai kukutokea.. binafsi imenitokea mara 3 kwa wanawake tofaut tofaut na mpaka leo sijui kwa nin inakua ivo.
Ni ivi unakuta demu umemkosea na ukiangalia kweli haujamtendea haki basi kidume unaanza kujishusha na kuomba msamaha!.. ukiwa katika harakat za kuomba msamaha...
Mida hii nipo night shift mara mlango unagongwa nashtuka mlinzi huyu apa na kombati zake...
Mimi - vip
Mlinzi - safi tu
Mimi - kuna mgonjwa opd
Mlinzi - hakuna
Mimi - kuna emergency wodini
Mlinzi - hakuna
Mimi - kalibu ndani!
Mlinzi - kimya
Apa nikasema " silence means yes " nikavuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.