Recent content by GAMUTU

  1. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri Jipya 2014 likihusisha vyama vingine!

    ukawa ni kama maccm baraza kubwa na ni la kuridhishana kama serikali ya umoja wa kitaifa znz suk. hiii ni hatari kwa ukawa kufuata nyayo za ccm
  2. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya ziara ya Mbowe kanda ya ziwa, namtafuta Zitto nimtonye!

    kinachoendelea chadema ni unafiki na kuminya demokrasia, kama zitto hakubaliki hivyo kwa nini njama nyingi kumzuia asigombee uenyekiti na urais si mngeitisha mapema ashindwe na afe kisiasa. mbowe slaa woga wenu unaua chama
  3. G

    JamiiForums Tanzania Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

    ni vyema kabla ya kutoa maoni na mapendekezo ukasoma katiba, waziri mkuu atatokana na wabunge wa kuchaguliwa na wananchi na sio wakupewa na rais kishikaji. muhongo au muongo hana jimbo
  4. G

    JamiiForums Tanzania Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

    tundu na minyika wanahaha tu, uwezo wa kumuondoa zito hawana. eti waraka upo kwenye laptop hata sheria ya ushahudi hajui eti ni mwanasheria mkuu chadema. kinachomtisha mbowe kugombea na wenzake ni nini. alianza kaburu akastuka kabla hajafa akaanza, kaja chacha wangwe kadedi. cdm hakuna...
  5. G

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    chadema kimejaa watoto sana, nina wasiwasi sana na weredi wa viongozi na makada wake. watanzania ni vyema tukatafuta chama mbadala cha kushindana na ccm kushika dola .hawa ukiwapa serikali wataparaganyika siku moja kwanza most of them ni past criminals.
  6. G

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    chadema kimejaa watoto sana, na wasiwasi sana na weredi wa viongozi na makada wake. watanzania ni vyema tukatafuta chama mbsdala
  7. G

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    hii inaonyesha jinsi gani Dr. Slaa alivyo na uwezo mdogo wa kufikiri na kutenda, kwa swala la Kagame ka weka siasa mbele na chuki yake dhidi ya JK, itashangaza akimpenda JK lakini kwa hapa alitakiwa aweke utaifa na uzalendo mbele. JK alitoa ushauri tu na haikuwa amri. Kagame kaziba mianya yote...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

    Naomi ya kijinga kila Kitu Kibaya CCM. Gari muendeshe wenyewe lawama CCM, utoto huo kueni.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ni bora Obama ashauriwe kutokuja Tanzania. Nitashangaa iwapo bado atakuja katika hali kama hii!

    Maoni yako haya shangazi sana ndio imekuwa Malengo ya chadema kuzusha vurugu ili kuharibu taswira ya Tanzania kimataifa. Mkumbuke ghiliba zenu haziwasaidii hata Kidogo. nchi hii kamwe haitaongozwa na shehe au padri mnajisumbia bure. Obama na wakubwa wengine watakuja tu kwa sababu Jk katuposition...
Back
Top Bottom