Brutal 8hrs , Halafu seats ni Kama Mbao, Ngumu balaa, njia ya reli ni jointed, train ni nginjanginja la mwaka 1976 linatumia fossil fuel linanyata speed ya 53km/hr
Reli ya SGR ya Tanzania ni continuous welded , kuna wakati EMU zinaenda hadi 180km/hr na ukiwa ndani huhisi kitu, just calm, comfort...