Recent content by gambi sosomb

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wageni kutoka Kijijini: Sabasaba yangu imevurugika

    Waachie nyumba ww ondoka kama mwezi hivi bila hela ya natumizi, wenyewe wataanza kuagiza kuku zao za kijijini ziuzwe ili wapate nauli
  2. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtambua mtu anayeendesha gari ya shemeji yake

    Ndiyo wa walivyo
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Muziki wa Dansi nchini "Amigolas" Amefariki Dunia

    apumzike kwa amani
  4. G

    JamiiForums Tanzania Je! ni hatua zipi jeshi la polisi linapaswa kuzifuata ili kurudisha hadhi yake?

    Sitaki kuwatetea mapolisi, nadhani hicho kinachofanyika si muongozo wa Jeshi hilo, hiyo ni tabia YA huyo askari/hao askari, pia nadhani wana kanuni zao za maadili Ndani YA Jeshi hilo. tunajua kazi yao kubwa na dhamana waliyopewa ni kulinda Usalama wa raia na mali zao na si vinginevyo, kupata...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ya kulaumiwa ni Serikali juu ya hizi ajali kama ya jana Arusha!

    Tatizo lipo kubwa sana licha YA miundombinu YA barabara kuwa NA changamoto zake lakini pia uzembe wa madereva unachangia kwa kiasi kikubwa sana. laiti kama wangezingatia matumizi sahihi YA barabara sidhani kama haya yangetokea. muda wa kusimamiwa umepita okoa roho yako na YA abiria uliowabeba...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Je! ni hatua zipi jeshi la polisi linapaswa kuzifuata ili kurudisha hadhi yake?

    Ni mtazamo tu tumetofautiana, pitia MAFUNZO YA JKT ili uwe mzalendo wa kweli, pia hata kama utopitia mafunzo hayo kuwa NA taadhali Hasa onyo linapotolewa wakati wa hatari.
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wote wanatarajia kuolewa na mimi Nifanyaje?

    Huyu ni wakunyonga kabisa, kama ikishindikana basi akatwe uume wake
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Polisi walipanga kumuua mtuhumiwa wa mabomu Arusha?

    Angesababisha maafa katika familia yako nadhani ndiyo ungetambua vizuri, lakini kama kweli angefanikiwa kuwatoroka angeenda kujipangaje? angesababisha maafa YA namna gani? huyu bila shaka alishaamua liwalo na liwe sasa limekuwa.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kitu kinachosadikika kuwa bomu limetelekezwa karibu na Kanisa la KKKT Kjitonyama.

    si wanasema ni mtandao wa watu wengi labda ndiyo hofu imeanza kuwaingia wanayatelekeza ovyo mabomu baada ya kuona wanaanZa kubainika
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wananchi tusikubali kuwatetea wahalifu wanapokabiliwa na dola

    Well done police force huyu ni gaidi nikimletea lelemama atanilarua mie
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili ufanikiwe maishani kipi kitangulie gari, nyumba au ndoa?

    Kujitafakari ni muhimu zaidi kwani inakupasa kutambua umri ulionao. malengo na nia. hofu umefika miaka 45 huna vyote.
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi kwenye tendo

    Eenh! Ndiyo utaratibu gani huo lakini inawezekana hata wewe unamapungufu na ndiyo maana mwenzio akipiga kamoja analala. umbadilishii nyimbo, jingle zilezile tu.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuzuia Pikipiki kuingia mjini lifanyike kwa ustadi

    Wewe unaroho ngumu sana
  14. G

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuzuia Pikipiki kuingia mjini lifanyike kwa ustadi

    kutokujiamini katika kazi nayo inachangia kwakiasi kikubwa.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuzuia Pikipiki kuingia mjini lifanyike kwa ustadi

    Ukiona bodaboda kasimamishwa alafu kakataa kusimama ni wazi kuwa hana vigezo vya kutumia chombo hicho
Back
Top Bottom