Recent content by gambanjeli

  1. G

    Jaji Mustapha Mohamed Siyani aliyekabidhiwa kesi ya Ugaidi ya Mbowe ni nani?

    Kwa nini wanafunzi wa elimu ya msingi wanavaa sale?
  2. G

    Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

    Takwimu na hoja zako ni chanya na za kujenga nyumba moja bila kunyang'anyana fito. Timu nzuri ya mchezo wa kupokezana kijiti (relay) , kila apokeaye kijiti, kasi yake inataikiwa kuwa zaidi ya aliyemkabidhi kijiti. Ikiwezekana ongeza wigo wa takwimu zako kuanzia awamu ya pili. Je kila rais wa...
  3. G

    Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

    G Sam, Hoja yako ni njema lakini ingekuwa na nguvu zaidi ungejadili au kujibu hoja za “devils’ advocates” 1. Kivukoni kina chukua muda gani kuvuja abiria na mizigo, hufanya kazi saa ngapi kwa siku, magari mangapi na abiria wangapi kuvushwa kwa siku? 2. Magari ya abiria yatachukua muda gani...
  4. G

    Tanzania ni yetu sote! Tukikupa uongozi ukumbuke ni neema tu za Mungu

    Una hoja lakini ungeeleweka vizuri kwa kiswahli kuliko Kingereza
  5. G

    GE2020 Tumevuka kigingi kimoja, bado kingine

    Walifuata itifaki pamoja kufika kwenye tukio kabla ya mhusika Rais ambaye alikuwa mhusika mkuu?
  6. G

    Zitto: Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli na vifaa vyote vikatoka Uturuki?

    Wakati Mh Zito ana Ansila hoja yake utekelezaji wa “local content” ulikuwa haujafahamika kwa wengi. Bade ya kufufua TRC na kuanzisha TRC Reli Tv taarifa za utekelezaji zinapatikana kwa urahisi. Taarifa ya TRC kupitia tv yake inabainsiha mahitaji ya sementi, nondo na kokoto kwa ujenzi wa...
  7. G

    Masele Mbunge wa Shinyanga mjini uliyataka mwenyewe!

    Kwa heshima na utamaduni wa wasukuma nashauri ubadili jina lako (username yako)
  8. G

    Yanayotendeka CCM ni uvunjifu wa Katiba na Udikteta, Msajili unayaona?

    Bw. Yericko. Wewe ni mwanachama na kiongozi kwenye muundo wa uongozi wa CHADEMA. Uchaguzi wa 2015 CHADEMA kilimpitisha Lowasa kugomea Uras bila kufuata katiba ya chama. Ulikikosoa chama chako au uliafikia na uamuzi uliofanya Mlimani City? Labda CCM wameiga utarabu wa CHADEMA ambao haukupingwa...
  9. G

    The heartless "Herd Immunity" strategy against COVID-19 in one picture

    Herd immunity is altruism well demonstrated in wildebeest as depicted in the attachment. They have to cross the river for pastures and safe breeding grounds. If not they will die in large numbers and few calves will survive.
  10. G

    Media House za "mabeberu" na utumwa wetu wana wa Afrika

    Kila mmiliki wa chombo cha habari huwa na ajenda yake ya kutetea na kuimarisha masilahi yake. Waajiriwa hasa wana habari ni waigizaji wa mchezo ulioandikwa kwenye sera na mmiliki wa chombo cha habari. Waigizaji mashuhuri huwa hawa wakilishi vitendo na mawazo yao bali ya "mwandishi". Walioona...
  11. G

    Magari ya mizigo kutoka Kenya yazuiwa kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro (Lungalunga)

    Vita vyote bila kujali ukubwa na muda wake pamoja na ile vita fupi kuliko vyote duania (dakika 30) kati ya Zanzibar na Uingereza, vilianza kwa maneno na hatimaye vitendo. Tuombe tusifike huko kwenye hii vita ya maneno kati ya nchi zetu hizi mbili. Hekima na busara zitawale.
  12. G

    Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

    Rais kwenye hotuba yake amesema waziri wa afya atatoa taarifa ya kamati aliyounda. Hoja zako zitajibiwa au la kama yafuatayo hayatakuwa kwenye taarifa hiyo: 1. Mashine za kupima corona zilikuwa na kasoro na kupata zingine 2. Mashine hazikuwa na kasoro bali wataalamu hawakuwa na weledi wa...
  13. G

    Corona... Corona... Corona kumbe wala....

    Kila nchi inatoa maazimu ya kupima na kufungia madreva wa Tanzania kwa kutumia miongozo yake bila kushirikiana na Tanzania.
Back
Top Bottom