The heartless "Herd Immunity" strategy against COVID-19 in one picture

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,639
2,000
The wananchi from those countries which have opted to "combat" COVID-19 using the so called "Herd Immunity" should have a quick glance at the picture below to enable them understand what their governments think of them (wananchi).

The picture portrays only one key message - let's make millions (or tens of millions) of wananchi be sacrificial lambs and we will make-do with whoever survives through the pandemic.

It takes an extremely heartless government to go for this horrible option. I know we know some of those countries, Brazil is one - who else is in?

1590727238408.png
 
Attachments

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,639
2,000
Vijakazi wa Mabeberu mlikuwa mnaombea Watanzania wafe kwa corona

Mungu ameona nyie ni devils hajawasikiliza
Enyi misukule wa MATAGA muwage hata na ka akili japo kidogo. Unadhani ujuha wa kutotangaza ndiyo unafanya watu wasife?
Wewe unadhani kwa nini US & UK wamekimbiza raia wao?
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
5,924
2,000
Yaani hujajaribu kuokoa maisha, hujapambana vya kutosha unakimbilia herd immunity

Herd Immunity inapaswa iwe last resort kwenye mapambano, siyo option ya kwanza.

Kwanza ugonjwa wenye hauna uhakika kama hiyo herd immunity inaweza kupatikana maana siyo kila ugonjwa mwili hufanikiwa kutengeneza immunity
 
Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
4,991
2,000
Hata sisi tumewakimbiza Raia wetu tumewarudisha.

Unaona USA ni watu wa maana sana?
Enyi misukule wa MATAGA muwage hata na ka akili japo kidogo. Wanadhani ujuha wa kutotangaza ndiyo unafanya watu wasife?
wewe unadhani kwa nini US & UK wamekimbiza raia wao?
 
Dystonia7

Senior Member
Sep 12, 2019
196
250
Yaani hujajaribu kuokoa maisha, hujapambana vya kutosha unakimbilia herd immunity

Herd Immunity inapaswa iwe last resort kwenye mapambano, siyo option ya kwanza.

Kwanza ugonjwa wenye hauna uhakika kama hiyo herd immunity inaweza kupatikana maana siyo kila ugonjwa mwili hufanikiwa kutengeneza immunity
Exactly
 
Dropout

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
527
500
Enyi misukule wa MATAGA muwage hata na ka akili japo kidogo. Unadhani ujuha wa kutotangaza ndiyo unafanya watu wasife?
Wewe unadhani kwa nini US & UK wamekimbiza raia wao?
Watu wakifa wewe unafaidika nini? wewe sio mtu,? huwezi kufa? ukiweza jibu hii hoja au ukishndwa kuoneshe kuwa wewe ni mlamba lolo za mabeberu
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,569
2,000
The wananchi from those countries which have opted to "combat" COVID-19 using the so called "Herd Immunity" should have a quick glance at the picture below to enable them understand what their governments think of them (wananchi).

The picture portrays only one key message - let's make millions (or tens of millions) of wananchi be sacrificial lambs and we will make-do with whoever survives through the pandemic.

It takes an extremely heartless government to go for this horrible option. I know we know some of those countries, Brazil is one - who else is in?

View attachment 1462118
Nimekuelewa sana mchoraji na katika hao Kuna watakao letewa sumu ya kumuua mamba kwa private jet. Za kuambiwa Changanya na za kwako.
 
ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
956
1,000
So wasimame hapo hapo wasivuke , hiyo picha wangeiboresha wangeonesha hapo walipo Ni lockdown, na ni lazma wavuke ambapo angeobesha upande wa pili Kuna chakula, uchumi, shule, afya, then wao waamue waendelee kusimama hapo tu mpaka infinity kisa tu wanaogopa mamba 6
 
gambanjeli

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
389
250
The wananchi from those countries which have opted to "combat" COVID-19 using the so called "Herd Immunity" should have a quick glance at the picture below to enable them understand what their governments think of them (wananchi).

The picture portrays only one key message - let's make millions (or tens of millions) of wananchi be sacrificial lambs and we will make-do with whoever survives through the pandemic.

It takes an extremely heartless government to go for this horrible option. I know we know some of those countries, Brazil is one - who else is in?

View attachment 1462118
Herd immunity is altruism well demonstrated in wildebeest as depicted in the attachment. They have to cross the river for pastures and safe breeding grounds. If not they will die in large numbers and few calves will survive.
 
xng hua

JF-Expert Member
Sep 24, 2016
1,801
2,000
Njia zote zilizofuatwa na mataifa yote duniani katka kupambana na korona ni TAKATAKA TU as long as hakuna dawa ya covd

njia nzuri ni iloofata tz ad asaiv matokeo n mazuri zaid ya 50pc

covd tujifunze kuishinayo ukiumwa mafua meza dawa same to kifua piga vitamin C hakuna namna n kuzoea tu

tujifunze kujitegemea washkaj!
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
1,433
2,000
Yaani hujajaribu kuokoa maisha, hujapambana vya kutosha unakimbilia herd immunity

Herd Immunity inapaswa iwe last resort kwenye mapambano, siyo option ya kwanza.

Kwanza ugonjwa wenye hauna uhakika kama hiyo herd immunity inaweza kupatikana maana siyo kila ugonjwa mwili hufanikiwa kutengeneza immunity
Unawaza kidogo Sana mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom