Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Na ndiyo maana hawataki Kenya watangaze idadi ya madereva wa Tz wanaorudishwa Tz baada ya kupimwa na kukutwa na korona ili mapishi ya report yaendelee.
Watu wanataka takwimu gani? Kuongezeka au kupungua kwa maambukizi? Ama waliopona?Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje hapa kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20? Hivi kweli kupunguza hofu au kuupuuza huu ugonjwa na kukubali kuishi nao ndiko kumefanya wagonjwa wapone haraka na maambukizi yakome haraka?
Idadi alizotoa jana na PM kituo kwa kitu wagonjwa walobaki nchi nzima kama 20 hivi, kweli ndani ya wiki mbili wagonjwa wanaweza pungua kutoka 509 mpaka 20 kwa nature ya kirusi cha Corona??
Kama ni muujiza nakubaliana nao lakini kitaalamu hesabu inagoma.
Najiuliza viongozi wetu na wananchi wanapoona na kusikia vifo na cases kama Brazil, Marekani, Urusi kutaja kwa uchache wanahisi nchi hizi zimemkosea nini Mungu?
Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
Nasikia Magufuli akiwa huko Chato aliuona mkono wa bwana. Ajabu ni kuwa akiwa hukohuko Chato akampoteza dada na mwanaye mpaka leo anaumwa Corona.Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje hapa kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20? Hivi kweli kupunguza hofu au kuupuuza huu ugonjwa na kukubali kuishi nao ndiko kumefanya wagonjwa wapone haraka na maambukizi yakome haraka?
Idadi alizotoa jana na PM kituo kwa kitu wagonjwa walobaki nchi nzima kama 20 hivi, kweli ndani ya wiki mbili wagonjwa wanaweza pungua kutoka 509 mpaka 20 kwa nature ya kirusi cha Corona??
Kama ni muujiza nakubaliana nao lakini kitaalamu hesabu inagoma.
Najiuliza viongozi wetu na wananchi wanapoona na kusikia vifo na cases kama Brazil, Marekani, Urusi kutaja kwa uchache wanahisi nchi hizi zimemkosea nini Mungu?
Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
mpango wa Mungu sio sisi kufa kwa corona.Nasikia Magufuli akiwa huko Chato aliuona mkono wa bwana. Ajabu ni kuwa akiwa hukohuko Chato akampoteza dada na mwanaye mpaka leo anaumwa Corona.
Acha niende nikamuone anihadithie huo mkono ni wa kidhungu au kiafrika? Ukiona sijarudi mjue nimekutana na uzushi
hapana anataka waugue wengine asikie tu wakiugua.
Hesabu zako ni mbovu kwani hazijikiti kwenye data bali zimejikita kwenye hisia tu. Marekani walianza na 1 mpaka sasa wana takriban laki moja za vifo, wakati Wuhani nayo walianza na 1 lakini sasa wana vifo zero. Kwa hiyo namba zilianzaje na zikaishaje siyo scientific reasoning bila kujua model halisi ya jamii yako.
Kweli mleta sledi!!?Kuna watu huwa ni kama wachawi wanapenda kusikia habari mbaya tu ili kuwapruvu mahasimu wao wrong. This time around God stands with Africans COVID-19 won't sweep us kama WHO na wapambe wao kama mleta sledi walivyotabiri.
"African God is not a lesser god" PLO Lumumba 2017
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukibishana na mlokole unaweza ukaota sugu mdomoni. Nikupishe bro!mpango wa Mungu sio sisi kufa kwa corona.
inatosha kusema hivyo,kama unaona hapana Mungu akusaidie uanze wewe kufa na corona baada ya hapa.
Africa haijaathiriwa na corona Mkuu huo ni ugonjwa wa mabeberu tu
Sent using Jamii Forums mobile app