Wakuu kwema? leo katika harakati zangu za kupoza mwili nimekutana na bia chafu balaa. Hivi naweza vipi kupata msaada wa kisheria maana nimekunywa moja imefika nusu nikaona uchafu. Kutazama nyingine nayo chafu.
Naweza vipi kuwasiliana na wahusika?
Wakuu nauza hii sea piano yangu bei nzuri sana. Bado kama mpya na haina tatizo lolote.
Bei ni Laki mbili na nusu (Tsh 250,000). Maongezi yapo. Ipo Kivule- Mwembeni
0785220408
Wakuu nahitaji freezer iwe mpya au used lakini isiwe na tatizo lolote lile. Bajeti yangu ni 300000 lakini iwe mwanza au musoma. Kama kuna mwenye nayo anicheki kwa 0758652954
Ingekua ni mtihani ungepata 0.001% yeye anaongelea uhusiano kati ya dini na ugonjwa wa akili lakini wewe unaongelea uwepo wa Mungu. Kwamba sisi tusioamini katika dini zenu za kufikirika ndo hatuna mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.