Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Uwa mnagongewa sana tu. Bahati mbaya umemnasa ila ndo hivyo tena keshaliwa!
 
Ichukue hiyo namba mtafute mwanamke yeyote apige hiyo namba ,yani ajifanye amekosea namba alafu ajifanye anamshobokea huyo jamaa amuulize anaishi wapi then uandae mtego wa kumnasa mwizi wako,unaweza kuta ni jirani yako hapo nyumba ya pili, ukim'bamba mwizi wako nitafute tumtatue rinda.kama huwezi vumilia kupigiwa.
 
sim yangu haikuwa na credit nikamuomba ya kwake ili nimpigie mtu ile tu naanza kuingiza namba text naya ikaingia nikaona isiwe shida ngoja niisome aiseee...niligair hata kupiga sim
Pole mkuuu kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Back
Top Bottom