Recent content by Gambabovu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya ccm mtaa wa migombani

    Hawajasaini so wanahaki ya kwanza mahakamani lakini sio mkuu wa mkoa kutangaza marudio,ni mahakama pekee itakayoamua matokeo yakisha toka.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    From nothing to something ukawa have to cerebrate but for magamba from 100% to 75% bitterly should continue crying....just a warning for 2015.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa wazi kwa J. J. Mnyika (Mb)

    Wewe jembe na yeye jembe,wote nyie majembe hakikisheni anabaki 2015.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akutana na Rais Kikwete

    Nampongeza cardinal kwani kwenye kuumwa, tofauti huwa hazina nafasi...mie ni Chadema lkn kwa hili semeni msemavyo....nyie ccm fanyeni dhihaka lkn sio kwa kujuliana hali.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya ya Msata-Bagamoyo inasambaratika hata kabla ya ufunguzi

    Mafisadi washamtia mfukoni,cjui jamaa zake na singasinga?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuwa Kura ya "Hapana" Kwa Katiba Mpya! Ni Kura ya "Ndiyo!" Kwa Katiba Hii Iliyopo?

    Hapanaaaaa kwa Sera pendekezi za ccm na maescrow!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mambo 20 muhimu ya wananchi yaliyotupwa na katiba inayopendekezwa

    Mahakama ya kitaifa inatosha,la sivyo waislamu hamieni Zanzibar na mafia mkaanzishe hizo kadhi zenu...die tubaki bara mahakama za kiserikali.
  8. G

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Idiot!katiba pendekezi ni Sera za ccm kuwalinda viongozi na mafisadi na so kwa ajili ya wananchi,mf haki za Makundi ni sehemu ya malengo makuu ya taifa huwezi dai popote(mahakamani) hata km serikali hatotimiza.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

    Sasa tumeona nani muuza juice nani tumbili.....muhongo prof magumashi.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo Jumanne 25 Nov, 2014

    Job wetu..huko wapi?sins imani na huyu mama....bibi kizee.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Iramba na Igunga yafanya kufuru uchaguzi serikali za mitaa

    Mavi ya ccm wewe....sura kaa wasira au Linda wakulialia...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hii CV ya Mama Lwakatare ina maajabu yake, tusaidiane kuichambua tafadhari

    Degree ya mwaka mmoja unapata udokitari na pia ukizunguka km dagama unapigwa na uprofesa wa kichina..na ukiwabeza sana wapinzani pale ccm unaitwa Mh sana...msikivu...pia waweza kukubuhu ktk kuwapa sumu watu....na kudhulumu wananchi.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Makinda apigilia msumari wa mwisho jeneza la Pinda

    Vipi wazee pinda amelia au?danganya toto huyu..do anakipaji cha kuigiza balaa.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Bunge liiombe radhi Mahakama

    Sumu imemuozesha ubongo wake huyo mwakiembe.
Back
Top Bottom