Recent content by GAMBA GOSSI

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa matumizi na michango: Kila familia ilipewa Sh 1m siku ya kuaga, Zitapewa Sh 3,857,143

    Inasikitisha sana maana Wizara ya elimu haikutoa mchango wowote, na waziri wa elimu Ndalichako akaenda akala, na akakilimiwa kwa michango ya wananchi, Wizara ya Tamisemi nayo haikutoa michango waziri Simbachawene naye akaenda akakirimiwa na michango ya wananchi, Makamu wa Rais naye hakutoa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Meck Sadiki: Viongozi waliopewa madaraka wajipime wakiona hawawezi kuendana na kasi ya Rais wapishe

    Huyo ni muongo yeye ametumbuliwa, siku ya mei mosi alimchomekea magufuli na akamuomba asimtumbue mbona leo anaongea kivingine? huo ni unafiki
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu hizi kuu, tusimlaumu Mh Rais kutokuhudhuria kuaga miili ya wanafunzi huko Arusha

    Mnao mtetea huyo kutohudhuria msiba mnajidanganya na mna mawazo ya hovyo, na ya kipumbavu huu msiba ni mkubwa sana, ndiyo maana mnaona umetangazwa dunia nzima na mnaona wanao jali kama Uhuru Kenyatta alitoa salaam, za rambi rambi na akatoa statement na watu wakasimama dk moja, akamtuma waziri...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ester Matiko na Rais Mstaafu J. Kikwete wakutana katika shughuli za IMF

    We Mhere mbona hapo kama chumbani vile?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nape ataadhibiwa na CCM kwa kauli ya kusema alikitoa chama shimoni uchaguzi wa 2015

    Nape aliitoa shimoni kwa kuiba kura za raisi kupitia goli la mkono ccm msibishe, kwani mlisha shindwa na Lowassa bila wizi mngekuwa kaburini.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kuzima jaribio la kuitikisa Serikali yako

    Lizaboni hata ukatibu wa wilaya ccm wamekunyima du pole sana
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania chini ya Rais Magufuli itaimarika kiuchumi, kidemokrasia na Utawala Bora

    hivi nyie watu wa Lummumba mna elimu gani? hivi wewe Lizaboni hivi ulimaliza kweli hata elimu ya msingi? mbona nina wasiawsi na uwezo wako???????????????????????????????????????????????????????????????
  8. G

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge kugoma kuitumbua Kamati ya Madini, Kwa aibu hii ya makontena ajiuzulu uspika

    kumbe nimeamini watu wengi wa Lummumba uelewa ni mdogo mno poleni sana nendeni shule elimu haina mwisho
  9. G

    JamiiForums Tanzania Itazame safu ya bodi na menejimenti ya ACACIA Mining Tanzania kisha utaelewa tatizo liko wapi

    hisa hamna mnataka muwe director? mbona mnatia aibu halafu elimu gani mnayo hiyo ya kuwa kwenye menagement?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye amkabidhi Ofisi Waziri Mwakyembe kwa bashasha na furaha

    Wote ni masalia ya CCJ na Mwakyembe ndiye kiongozi wa sasa wa CCJ baada ya Sitta kufariki kwa hiyo hawana chuki miongoni mwao, angekuwa anamkabithi Bashite ndiyo ungeona hizo ndita.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Hawa watu ni vilaza wote, kuanzia magu, ndugai na kakoko, siyo weledi ni watu wanapenda kutumia nguvu badala ya akili. acheni kutafuta kiki juu ya hili maana hii si haramu na wala siyo utoroshaji na uwezo wa kuchenjua siye hatuna hata baaada ya miaka kumi ya magu na hiyo hasara msitake...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    we mburura tuu na makonda wako uwezo wenu wa kufikiri ni zero tuuuuuu
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa Siri, Wakamatwe, Washitakiwe!

    Mayalla acha njaa kama jina lako lilivyo, hiyo najua unatafuta kiki kwa Magu ili uchukue nafasi ya Bashite jitahidi unaweza kufanikiwa maana hata Tizeba alimrithi kitwanga ambaye ni msukuma mwenzake piga jalamba unaweza ukalamba dume. Lakini ujue nduguyo safari ya Kolomije imefika ni afadhali...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Q & A ya Mhe. Rais & Mhe. Abdallah Possi

    huyo paskali anatafuta uteuzi tuu, hana lolote
  15. G

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ndie rais ajaye wa JMT 2025

    Labda awe rais wa jumuia ya mawese tz
Back
Top Bottom