Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Mbunge wa Tarime mjini Esther Matiko (Chadema) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles Washington DC nchini Marekani ,wakiwa wanarejea nchini kutoka Marekani walikokuwa wakihudhuria mkutano wa kimataifa uliowajumisha viongozi mbalimbali wa nchi wanachama wa Benki ya Dunia na na IMF ,asasi za kiraia, mashirika binafsi kuzungumzia masuala ya mbalimbali has afya na elimu. Mkutano huo umeazimia nchi na mshirika mbalimbali kuwekeza kwenye Lishe ili mataifa kuepuka kuwa na watu wenye udumavu na hivyo kuathiri uchumi wa nchi.