Recent content by galton

  1. G

    Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

    Aaah ahsante, team ya warumi haijawahi disappoint, gawa dozi binamu
  2. G

    Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

    Wanadhani serikali inaongozwa na mange kimambi, mbona watachora chini, kwanza wengi wanaomponda makonda sio watu wa dar wametoka vijijini so ni vyema wakarudi huko watuachie makonda wetu
  3. G

    Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

    Whatever but makonda sio level zao wamuache kabisaaaa, kwanza wasipomuandika ndo anapumua jamaa
  4. G

    Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

    Wenyewe wanajua wasipomuandika wanamkomoa kumbe ndo kwanza jamaa anapumua maana mlizidi, sasa hivi anafanya kazi kwa amani, mshahara unaingia tu taratibu mamas, mbona watajinyonga
  5. G

    Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

    Mbwa wewe achana na makonda, Ana uwezo wa kulisha ukoo wenu mzima bwege wewe, kushindana na mtu ambaye hata hakujui uwepo wako duniani ni wendawazimu, kutwa makonda mnashindwa kuondoa umaskini mnamuwaza makonda mbwa nyie, mtaishia hivyo hvyo, jamaa ndo mkuu wa mkoa, hutaki rudi kijjini kwanza...
  6. G

    Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

    Waambie hao manyumbu, mi nilijua wasipomwandika mshahara hapati, kumbe mshahara na cheo kipo pale pale, kwanza hawachoki tu kumuongelea tu? Yani makonda anawanyima usingizi, ila namkubali jamaa kanyamaza kimya anawadharau tu
  7. G

    Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

    Kumbe bado mnuwaza tu? Mwenyewe hana habari anapiga kazi kimya na mshahara uko pale pale, hao waandishi uchwara makonda anaweza kuwalisha maisha yao yote Viva makonda
  8. G

    Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

    Mavoko ata passo hana, anaishi kama digi digi, hana mbele wala nyuma, na siku hizi anavuta sana bangi huko tabata anapoish, in short anaaribikiwa
  9. G

    Rich Mavoko upo??Naamini unajutia ulichofanya!!

    Rich anasauti tamu sana na alikua tishio kubwa kwa diamond, domo ikabidi ajifanye anamuweka kwa label yake ili amdhibiti kutoa music na kazi zake zote, in short alijidhalilisha, sasa kila mtu akiingia wasafi music utakosa ushindani na radha, voko kabugi
  10. G

    Happy Birthday Elizabeth Michael 'Lulu'

    Mmh!! Mpaka sasa hivi Majizzo bado hajatoa birthday wishes kwa aliyekuwa my love wake, Lulu Michael. Sio kawaida aiseh, leo tungeona mbwembwe za kila aina, ila nimepitia kwenye page ya Majizzo nimeona kimyaa, anaishia tu ku likes picha za lulu kwa watu, ila yéyé naona kamfungia kufuli. Pole...
  11. G

    Wema Sepetu aapa kuirudisha bongoMovies ktk ubora wake km zaman

    Kama alishindwa mrudisha domo kwa zari bongo movie ataiwezea wapi
  12. G

    Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

    Nina ubuyu wake sijui niumwage tusherekee pasaka vizuri, lol
  13. G

    Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

    Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?
  14. G

    Zari Arusha Dongo gizani

    Umeona eeh
  15. G

    Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

    Kabisa uvumilivu sinaga
Back
Top Bottom