Mkuu ikiwa sio halali inaleta shida kwa mama mkwe coz kama mama mkwe ni jeuri na anajua tabia mbov ya binti yke jamaa ataishia kutukanwa na kejeli, lakin kama yuko serious issue ni kuuliza na kutambua kinachoendelea somtym kutake risk inafaa bila kujali umuhimu wa kitu chenyewe sasa kwa maelezo...
Dah cjajua fikra zako zimebez wapi ila nnauhakika wew hujui tabia za unaemuita boss wake, mbali ya hilo uko tayar kabsaa huyo unaesema mdgo wko apate ukimwi kwa kijikazi kisicho weza hata kulea hilo gonjwa, acha aishi kwa misimamo yke asije kukunyooshea kidole kwa ushauri wko mbovu.
Kazi rahic tu kama alimuoa kwa ndoa halali, kwan amesahau kuwa mkewe yuko chjni ya mamlaka yake, mama mkwe ndo nani ana mamlaka ya kutoa taraka? Ni uoga tu au anahis kumpenda mpka anaogpa kumuuliza (chelewa utakuta mwana c wako), ushaur wangu ampeleleza kmya kimya wala haifiki mwezi akibaini...
Itaneni baby, sweet, honey, my heart, my love na mengine yoooote ila sio busara (kwa mtazamo wangu) kumuita mpenzi wako Mama/Baba marufuku kabsaa. Baba / Mama sio nafasi ya kila mtu hyo ni yao wazazi wko au wenu tuuuu
Mi nafikir hoja ni kwanin Ali K, siamin sana kama angekua Diamond zingeibuka hoja zoote hizi na inawezekana miongoni mwa wanaolalamika hawaja mpigia kura huyo Diomond hata kidogo, ukwel utabaki palepale kati yao nani alieimba nyimbo mchanganyiko (sio mapenzi tupu) kuliko mwenzake?, nani aliegusa...
Kila kitu ni jinsi ulivo kiendekeza na kukikaribisha moyon mwako, kunawanaoumia kupoteza wapenzi wao (hata ndoa hawajafunga) kuliko msiba wa ndugu zao. MAHABA MUUE ATUACHIE MPENZI WAKE SS SHEMEJI ZAKE TUDUMISHE UTARATIBU ALIOUACHA MAREHEMU.
Da pole yke man huyo, saivi likizo ajifanye ka amefukuzwa kazi hivi ale uso wa kazi kweli (huruma sio mahara pake) then awahimize warud wote na yeye (atagharamika nauli) hyo imewah kutumika ikafaa. Maana lyf ya Dar mixer ndgu ni soo kipato chenyewe magumashi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.