Recent content by gaintoo broisser

  1. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Mke Domo tenga!

    One In million Kwann Usichukue Mwingine
  2. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Acha Ushamba Kiongozi Ameingia Ubia wa kutengeneza Isosceles na Pia Simu anatengeneza , Assembled in China ndo maana ata Spea Wanauza
  3. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Bro Material ya Iphone yapo Tofauti Sijaonaga Mtu anaenda Kubadilisha Mic, Housing Mara kwa Mara Tofauti na cm nyingine Alafu Watu Wasifurahie Mpo kwenye mfumo wa Wachina
  4. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Duu Bonge la Point , Na nyumba nyingi zinaungua Sababu bidhaa fake za Mchina
  5. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Uchumi wetu tu Hauruhusu
  6. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Kila Mt hula kwa Kamba yake Nunua extension ya Elfu 10 Unakwepa Elfu 15 ya Original, Unatumia Siku Chache Unanunua Tena, Unafikia Bei Uliyoikwepa ya 25k Tronic , Utaendelea kuwa kwenye Mfumo, Unakwepa Kununua Iphone ya Milion 2 Iphone 📱 13 Promax Unanunua Samsung galaxy ya laki 8 Inakuja kukufia...
  7. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Duh Rafiki Mwenyewe Afi kwa Dhiki Yupo tayali Kunipa Pombe na Si Kunisaidia ninapokua na Shida
  8. gaintoo broisser

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyotongozwa na msichana Baa

    Gundu
  9. gaintoo broisser

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye Hard Disc

    Nahitaji Hard Disc Nipo Shy Town mwenye nayo Tufanye Biashara Ukubwa 1Tb 2Tb 3Tb na Kuendelea NOTE: Sihitaji Za Madukani Bei Gali Sana .
  10. gaintoo broisser

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Dogo wa Zanzibar mlimpigia kelele Mkajua anazingua
  11. gaintoo broisser

    JamiiForums Tanzania Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

    Alye ua kwa upanga naye atakufa kwa upanga
Back
Top Bottom