Recent content by Gadd

  1. G

    JamiiForums Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Kweli wewe ni Mjinga Watu wote hapo Wamefumba Macho wakiwa Wanasali unasema kalala kweli vijana wa Magogoni mnapata shida sana
  2. G

    JamiiForums Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Sasa Wewe unayejidai ni Ccm kisa umetuma na February Umeisha Maana wenye Fisiemwenyewe wamenyamaza maana wanaona hali ni Mbaya wanamtamani LOWASA
  3. G

    JamiiForums Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

    Rudisha tu hiyo Kadi maana utakua umepishana na Gari ya Mshahara maana LOWASA ndiye Rais
  4. G

    JamiiForums Edward Lowassa ahaha kuhakikisha Julius Kalanga (CHADEMA) anapita bila kupingwa Monduli

    Hivu nikweli kua Lowasa anasema Mwenyewe kua anakubalika au Hata Sisi Tunaona tu Watu wanavyomkubali
  5. G

    JamiiForums Sophia Simba akiwa na rais Kikwete Marekani muda mchache kabla ya kikao cha UN

    Hivyo Vipicha ni Vyazamani Sana Maana Jana Kikwete Alikua anaanga UN sasa iweje Leo Wawe na Sophia Dubai
  6. G

    JamiiForums Kikwete mjanja sana!

    /s1600/4.jpg"][/URL][/FONT][/CENTER] Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi mji wa Iringa kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Samora.[/LEF Nape hakua...
  7. G

    JamiiForums Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    Sawa Vijana Wa Lumumba Hebu Tupeni Picha Halisi Mlimpandishaje Twiga Kama Hizo ni Za kutengeneza Tuambieni Mlimsafirisha Vipi
  8. G

    JamiiForums Mgombea Urais UKAWA Kukumbuka Shuka Asubuhi

    We ni Mjinga Kweli umeshaongea Nenda Lumumba kachukue buku 7000
  9. G

    JamiiForums Msafara wa Magufuli waleta kero Kubwa Kwa Wasafiri Mkoani Iringa

    Leta Picha Sio Unatuambia Haijawahi Tokea
  10. G

    JamiiForums Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    Kweli ma Mbulula ni wengi Hebu Angalia Ratiba ya Lowasa utapata Jibu
  11. G

    JamiiForums Ukimya wa Mizengo Pinda unaashiria nini?

    Hayo maadili unayoongelea ni Yale aliyoyasema Kinana au? Maana alisema waliokatwa Wote hawakua-na Maadili sasa hapo nashindwa kuelewa ni Maadili yapi hayo
  12. G

    JamiiForums Mambo yaliyombeba Magufuli mikoa 11

    Subiri October tutajua
  13. G

    JamiiForums Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Hapo hakuna hata mahesabu unayojua acha kutapatapa
Back
Top Bottom