Mambo yaliyombeba Magufuli mikoa 11

Mambo yaliyombeba Magufuli mikoa 11

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC00284.jpg
 
Magufuli anawahenyesha kweli hawa UKAWA. Soon wataomba poo
 
Source habari leo, ni gazeti ambalo sijawahi kulisoma hata siku moja.
 
Braza acha upenzi usiokuwa na tija. Kwani kipimo cha gazeti au habari kuwa za kweli lazima zisomwe na wewe? usijivike uelevu usiokuwa nao na usifikiri wapiga kura wa nchi ni wale tu unaofahamiana nao wewe. Kuna wapiga kura wengi ajabu zaidi ya 90% ambao wala hawajitokezi sana kwenye maeneo ambayo wewe upo. Wana ufahamu wa kutosha kwamba lowasa ni mwizi (wananchi waliaambiwa kwanza na nyerere baadaye tena bunge letu na wabunge wa upinzani wakiwamo. Lakini pia wapinzani walimweka orodha ya mafisadi 11 na waliendelea kuusema ukweli hadi juzi mwizi alipoonekana safi mbele ya macho ya cdm). Taifa hili lililoasisiwa na wazee wenye akili zao haliwezi kutawaliwa na mtu wa aina ya lowasa. Hata kama wengi wenu mmechoka kufikiri, lakini idadi ambayo haijachoka kufikiri inatosha kutupatia kiongozi aliye afadhali kuliko huyo mwizi.
 
Subiri October tutajua
 
Juzi walikodisha watu na kudai wamevunja ngome ya ccm Dodoma kumbe wageni toka dar na Arusha wamempiga mawe mavunde kukamatwa na polisi kumbe raia wa dar
 
Back
Top Bottom