Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,784
- 165,471
Hivi ni lini umewahi kumsikia kikwete akimkejeli Lowassa kwa maneno makali zaidi tu ya kugusia juu juu mambo mawili, matatu kuhusu Lowassa?
Sitashangaa kusikia JK akiwa mtu wa kwanza kupongeza ushindi wa Lowassa na kuwataka wana-CCM wenzake kukubali kushindwa huku akiwaambia hawana sababu ya kutafuta mchawi na anaweza hata kumsifu Lowassa kwa uvumiluvu huku akichagiza kauli yake na maneno kama "eee.. mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni."
Anaweza hata kuwambia, "jamani msinune ndio demokrasia."
Ukichumnguza Kikwete kwa makini utagundua yuko makini sana katika kauli zake na anajua kabisa kuna maisha baada ya uchaguzi tofauti kabisa na wasaidizi wake ambao wanaoonekana kujisahau kupita kiasi na huenda hawakemei ili tu asionekane kuwakatisha tamaa(ndumilakuwili).
NB:kwa wenye kumbukumbu nzuri,mtakumbuka ni Kikwete huyu huyu aliewaambia wana-CCM wenzake kule Dodoma kuwa,"zile zama za kudhani eti mtu akishapitishwa kuwa mgombea wa CCM basi ndio amekuwa mshindi(raisi), zimepitwa na wakati."