wanasheria mtusaidie. Je mahakama zinauwezo wa kutengua maamuzi ya tume kuhusiana na uchaguzi wa rais au la? Kama ndiyo wanasheria wa chadema wanasubiri nini?kama la mi naona tuwawajibishe waliotunyang'anya ushindi wetu.ili wengine wasijetokea kwenye uchaguzi ujao.
Kuanzisha shina la chadema ni bora zaidi kwani kuna advantage nyingi kwa mfano tutazitekeleza kwa vitendo falsafa ya kupambana na upotevu mali za wanafunzi(shule) km majembe, slasher,ndoo nk
Kuanzisha shina la chadema ni bora zaidi kwani kuna advantage nyingi kwa mfano tutazitekeleza kwa vitendo falsafa ya kupambana na upotevu mali za wanafunzi(shule) km majembe, slasher,ndoo nk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.