DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
Huyu Qorro alipokumbushiwa tatizo la maji akasema sio shughuli yake yeye wala si yeye aloleta tatizo la maji na kwamba watu hawalaimishwi kuishi Kartu isiyo na amaji wanaweza kuhamia sehemu nyiongine au wakojolee ndoo zao kupata maji zaidi....jeuri yake ni uswahiba na Ben...kwa kauli hiyo alimtosa kabisa sasa hivi yuko hoi kimaisha...tunapanda nae Mwaibula
...Jeuri hii walikuwa nayo viongozi wengi. Wengine bado wanayo, kwani wamejisahau kwa sifa lukuki wanazopewa na wapambe wao nuksi. Hata hivyo wamekuwa wakisahihishwa kwa kuwa voted out of office.
...Tatizo kubwa ni kwamba viongozi wengi wamekuwa wakichukulia vitu for granted. Hebu ona wanavyopata stroke au pressure wanapopoteza majimbo.
...Kibaya ni kwamba wapo wanaodhani na kuaminishwa hivyo na wapambe wao, kwamba, wanastahili kuwa viongozi kwa gharama yeyote [hata damu kumwagika] hali mradi tu, wameshinda.