St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,637
- 4,521
Mkuu nashukuru sana kupata picha ya huyu jamaa maana nimemsikia siku nyingi lakini sikupata maelezo ya kutosha juu yake.
Naomba kama kuna anayemjua atuhabarishe alizaliwa wapi alikuwa na kazi gani, elimu yake, n.k.
Naomba kama kuna anayemjua atuhabarishe alizaliwa wapi alikuwa na kazi gani, elimu yake, n.k.