Recent content by Gabriel720

  1. Gabriel720

    Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

    Tatizo Lenu Ndugu Zetu Wa Kijani Mmekuwa Too Comfortable Kiasi Kwamba Hata Mtu Anapotaka Kukukosoa Unataka Awakosoe Kwa Kuwabembeleza, Hell No. Mtaambiwa Ukweli By Any Means Possible Hii Nchi Ni Ya Wananchi Wenyewe Sio Mali Ya Watu Wa Lumumba
  2. Gabriel720

    Pesa ya kuomba sio mzuri tafuta pesa

    Uvivu Wa Baadhi Ya Wanawake Wa Kibongo Ni Wa Kiwango Cha Laki Imefikia Wakati Hata Kuingia Mahusiano Kigezo Kimekuwa Kuhudumiwa, Shame 🚮
  3. Gabriel720

    "Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

    Hapana Tunaonana From Time To Time Ila At First Hatukuonana Miaka Miwili Ya Mwanzo Wa Mahusiano
  4. Gabriel720

    "Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

    Mwaka Wa Nne Huu Niko Na Long Distance Relationship Na Mwezi Wa 12 MUNGU Akipenda Napeleka Maharu
  5. Gabriel720

    Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

    Tanzania Is Better Off Without Him [emoji706]
  6. Gabriel720

    Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

    Na Target Yake Ilikuwa Watu Kama Hawa, Katika Hilo Alifanikiwa.
  7. Gabriel720

    Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

    Mmarekani Unzungumza Ukiwa Wapi?
  8. Gabriel720

    Zitto Kabwe: Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa ambayo hamjawahi kuyaona, tusipoteze hii fursa jamani

    Kama Hatuna Uwezo Wa Kuijenga Wenyewe Ni Bora Tukaiacha Mpaka Tutakapokuwa Na Uwezo Wa Kufanya Hivyo Wenyewe
  9. Gabriel720

    Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

    Kwa Ninavyojua Wanashtakiwa Kwa Kuchochea Uhaini, Walitaka Kuvunja Serikali Isiyo Ya Kidini Na Kusimika Serikali Ya Kidini. Walitaka Zanzibar Iwe Dola Ya Kiislam Kamili
  10. Gabriel720

    Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

    Of Course Atapotea Vibaya Miezi Kadhaa Nyuma Alikuwa Anashindanishwa Na Diamond Saiz Amedhihirisha Wazi Kuwa Ligi Yake Ni Rayvanny, Wakati Yeye Anapambana Na Kiki Competitor Wake Anaendelea Kupiga Deals Na Yeye Anaachwa Way Behind...
Back
Top Bottom