Recent content by gabjhn

  1. gabjhn

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi hali ni mbaya

    Acha badi dharau kuwa na uhakika wa safari zako usione wengine wasio na uwezo wamependa!!! Unaweza kukuta hata milioni kumi za dharura huna !! Mijitu kama nyie kichwani hamnazo!!!!
  2. gabjhn

    JamiiForums Tanzania KERO Udhaifu wa Kimfumo TRA unavyotufanya wafanyabiashara tuonekane Matapeli. Mizigo iliyoletwa haijatoka tangu tarehe 20/1/2025

    Kaa uandike kwa ufafanuzi vizur kwenye kichwa cha habari umetumia maneno ya udhaifu wa kimfumo, kuonekana matapeli, ila kwenye maelezo yako haielezi je huo udhaifu TRA wamekiri hivyo au ni wewe kisha unaonekana tapeli? Ukiingia humu jipange kuelezea hoja yako ieleweke sio kulalamila huku...
  3. gabjhn

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Kwa vyovyote huna uzoefu na changamoto wanazopitia vijana ambao ndo wanaanza maisha na wanatokea familia maskini!! Usihukumu wengine kwa vijisenti ulivyo navyo aidha kwa kupitia familia inayojiweza. Nawasikitikia ila huwezi kuwahukumu ni mfumo umewakuta. Mind you niko above 50 usidhani unachat...
  4. gabjhn

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Kakuambi ni wadogo bado wanasoma na kaelezea yeye ndo first born!! Mtu kukosa kipato suo lazima awe na ulemavu. Jaribuni kuvaa viati vyake. Kuna maisha watu wanapitia na sisi tuliofanikiwa unaona ni sababu za azembe ila omba yasikukute.
  5. gabjhn

    JamiiForums Tanzania Naombeni mbinu jinsi ya kuwa bahili, kubana bajeti

    Kuwa na lengo ambalo linakugjarimu muda wako kutafuta oesa ulitekeleze na hapa namaanisha kitu tangible cha kukuletea maendeleo ikishindikana weka mbadala jemga kibanda maana ulivyosema disemba hadi Feb umetumia karibua mil 1 huna matumizi makubwa ya kifamilia
  6. gabjhn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

    Sasa mbona kama umejijibu mwenyewe hapa. Huyu unayemuona anapata hizi faida ni mwanamke na kuwa nazo ni lazima apate mwanaume amuoe ambaye ndo huyu unauliza napata faida zipi. Furaha ni kuwa na mwenza kwa pande zote so na mwanaume anafaidi pia kuwa na mwenza mwenye furaha na ndoa
  7. gabjhn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaona hii? Sasa endeleeni kunyonya papuchi muone kitakachowapata

    Upande wa pili wa shilingi. Je unajuaje ni uchafu ulofanya ikabadilika rangi? Ushawahi kuloweka nguo ya rangi kwenye jicky ya nguo nyeupe ukaona matokeo yake?
  8. gabjhn

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    Uncle tambua kwamba hadi unafikia hatua ya kuomba malazi au msaada wowote kwa taasisi lazima.mhusika ajiridhishe na hoja zako. Tanzania ya leo imejawa na watapeli wengi. Kupokelewa kwako na kunatwgemea na maelezo yako! Ukileta hoja za kiimani billa kujua sababu za wewe kuhitaji msaada wa kutaka...
  9. gabjhn

    JamiiForums Tanzania Majanga ya Asili: Tukafanye utafiti kwa Wahadzabe na wanaofanana nao ili tufahamu jinsi wanavyotambua majanga haya kabla hayajatokea?

    Bwana Pascal swalhumimu ktk mchango wako ambalo ungehitajika kijiuliza kabla..ni hili je tunaweza kuzuia janga kutokea? TOfairi na je tunaweza kuzuia maafa yasitokee? Haya ni maswali mawili tofauti na yenye majibu tofauti. Kinachotugharimu ni kuzuia athari za majanga/maafa yasiwe makubwa katika...
  10. gabjhn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

    Ukipanga ratiba ya tendo kwa wanandoa ni kama mnapeana zamu na mchepuko!! Si anajua leo sigusi wala kuguswa na mwanadoa?
  11. gabjhn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

    Wanaita role set! Akishindwa kutofautisha majukumu kwa sehemu tofauti hapo tegemea migogoro!!
  12. gabjhn

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Hiki unachoongelea kipo katika utekelezaji wa muda gani nikimaanisha timeframe. Si kwamba nafundiha namana ya kujibu swali ila.hili ni suala la.kiutemdahi umelijibu kisiasa siasa. Anachohitaji mwananchi ni mabasi yapo ya kutosha na huduma iliyo bora kuliko hapa ilivyo. Yaani kampuni ina wasomi...
  13. gabjhn

    JamiiForums Tanzania TAMKO la TEC: Upo uwezekano baadhi ya ma Baba Askofu hawajui kilichomo

    Umeandika Moja ya vitu a,bavyo ni muhimu kwako Mleta mada linapokuja suala kam hili usiwe mrahisi kuweka nadharia zako kisha na kuaminisha wengine kisa tu huko nyuma ilikuwa imetokea hivyo. Hata sisi tumeyasoma unayoelezea na kwa taarifa yako usipotoshe watu kuw Pengo alikiri kuwa wameamua ila...
  14. gabjhn

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

    Nimeanza kutilia mashaka uwezo wako wa kupambanua mambo. Hata hili hukulijua pia. Simzungumzii mama kuhusu kuongiza kwake ila.hilo la mihula nalo hulijui kabisa! parthetic
  15. gabjhn

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

    Nilikuwa najua unajua walau katiba kumbe kuchwani patupu. Au ni ule ushabiki wa kujiondoa ufahamu
Back
Top Bottom