Njoo inbox nikupatie suruhisho mkuu, mie ni shuhuda juu ya hili nimepitia changamoto hiyo pia kwa mda mrefu lakini kwa sasa namshukuru mungu mambo yapo poa
Njoo inbox nikupatie suruhisho mkuu, mie ni shuhuda juu ya hili nimepitia changamoto hiyo pia kwa mda mrefu lakini kwa sasa namshukuru mungu mambo yapo poa
Habari Wana jamvi....
Naamini jukwaa hili limebeba watu wengi sana , Leo napenda tushare taarifa na uzoefu mbali mbali hasa kwa wale wakatoliki wenzangu tuliosoma shule za seminary, binafsi nilisoma Nyegezi Seminary.....
Unakumbuka Nini katika maisha ya shule seminary....
Yap mkuu natumia plastiki...na pia kitambaa kimesinyaa.....kama unaweza kubattle sema...hivi nimetafuta kwa jasho langu and am happy kwa maisha nayoishi.....Nina pesa tofauti na unvofikiria
Mawazo mfu sana haya....sijasema nahitaji kulipwa wala Nini, ila nimeweka kwa lengo la kujifunza hivi vitu, kwani ni mara ngapi unaweza nunua soda na kukuta chupa imepasuka kidogo mdomoni au kukuta kutu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.