Recent content by g4cool

  1. G

    Natafuta mkanda wa mixer ya unga wa mkate ya 25kg

    Habari wakuu, natafuta mkanda (belt) wa mixer ya kupondea unga wa mkate kama picha inavyojionyesha, kama unao tuwasiliane
  2. G

    Naomba ushahuri: wataalamu wa spiker na midundo

    Nataka kununua bluetooth speaker, nimeipenda sana JBL BOOM BOX 3, ila sina bajeti yake, ni mdundo gani unaoendana na huo kwa bajet ya 400,000? Ambao ni portable kama boom3?
  3. G

    Hakuna ambaye ameoa au kuolewa atauona Ufalme wa Mungu. Ushahidi huu hapa

    Luka 4:38, Yesu alienda kumponya mkwewe na Petro
  4. G

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Kwa hiyo pesa kuangalia EPL mechi zote, Uefa mechi zote, baadhi ya mechi za france, germany,italy na spain naona kama ni sawa
  5. G

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Vinapatikana mkuu, kuna jamaa yuko kigoma, hata kulipia unamtumia jamaa pesa ndio analipa, nipo naangalia mechi ya arsenal nw
  6. G

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Ni bora ununue dish la Canal +, unaona mechi za ligi kuu uingereza zote, uefa, italy na baadhi german na spain kwa mwezi 45000
  7. G

    Ipi rekodi yako ya uzoefu katika uendeshaji gari safari ndefu?

    Tanga- Mwanza 1057Km Kuanzia saa 9 alfajir- saa 5 usiku
  8. G

    Naomba uzoefu wa kuangalia mechi ya Simba na Yanga

    Shukran wakuu, nimecancel, nitawapeleka tu sehemu wakaangalie kwa tv
  9. G

    Naomba uzoefu wa kuangalia mechi ya Simba na Yanga

    Wakuu ni kwa mara ya kwanza nataka kwenda kuangalia mechi ya Simba na Yanga taifa na, sijawahi kabisa kuangalia mechi hapo, so ningeomba kupata experience juu ya 1. Natoka mkoani, jinsi ya kulipia tiketi inakuwaje? 2. Nakuja na watoto, miaka 8, 6 na wa miaka miwili, je VIP itakuwa chaguo zuri...
  10. G

    Toyota nadia kuweka engine ya IST

    Naweza kuweka ipi nyingine?
  11. G

    Toyota nadia kuweka engine ya IST

    Wakuu kwema, nina gari aina ya toyota nadia, iko na engine ile ya zamani, na iko juu ya mawe muda mrefu, sasa nataka kuifufua, Hivi naweza kuondoa mfumo wake wa zaman, nikaweka engine na gear box ya gari ndogo kama IST?
  12. G

    Material ya screen printing

    Kwa dar wapigie hawa jamaa 0717547355 wako kariakoo msimbazi karibu na big bon
  13. G

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Mwl kombo, mr hemedy, mwl mama dura headmistress, mwl kimea
Back
Top Bottom