Wakuu habarini za saivi,
Nimejaribu sana kutumia email iliyo wekwa kwa ajili ya kuapply kazi ila kila nikituma inaniambia failed.
Nawaombeni msaada wa jinsi ya kutuma email, mie naona naenda kukosa kazi.
Nimetumia hii email utawala@mwanza.go.tz. imefaile na kuniletea hii massage
Sorry, we...