Msaada wa kampuni inayosafirisha vifurushi hatarishi

G3T

JF-Expert Member
May 21, 2013
816
399
Habari wanaJF

Naombeni msaada wa kujua ni kampuni gani hapa Tanzania inayojihusisha na kupakia vifurushi hatarishi (dangerous goods packaging services).
 
Unataka kusafirisha nini?.weka wazi tafadhali.
 
Clearing and forwading companies zote,baadhi ya bidha hazipandi ndege hivyo wanaweza tumia meli..kuna Prohibited na Restricted.kwa mfano mabomu and the like.
 
asante mkuu,ila nahitaji kujua hizo kampuni zinazo fungasha hivyo vifurushi .
 
Nikushauri.......fika airport terminal one ziko kibao.....AMI.....DHL ..... na nyingi Ocean Freight Bhimji nk
 
Back
Top Bottom