Recent content by G-stev

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye GEREJI YA PIKIPIKI nataka kuweka DUKA LA SPEA za pikipiki pembeni yake

    Habari wataftaji wenzangu. Natafuta fremu niweke spea za pikipiki hivyo kama unajua sehemu kuna gereji ya pikipiki kwa dar ila hamna duka la spea nijuze. Pia kama wewe ni fundi mzuri tushirikiane wewe uweke gereji yako pembeni na mimi niweke duka tusaidiane wateja. Nawasilisha.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nna kamzigo kangu apa

    Naomba namba ya agent mkuu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nina kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanten
  4. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nna kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanteni
  5. G

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi ya uwakala

    Ni kweli lkn uaminifu upo
  6. G

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi ya uwakala

    Sawa ndugu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi ya uwakala

    🙏
  8. G

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi ya uwakala

    Habari wakuu kwa mtu mwenye ofisi ya uwakala na anatafuta dada mzoefu kwenye kazi ya uwakala anaweza kunichek...ikiwa Dar itapendeza zaidi
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada haraka Chanjo ya manjano(yellow fever) nataka kusafiri nje ya nchi

    Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msichana miaka 22 Anatafuta kazi/ajira

    Habari wana jamii, kwa yeyote mwenye kutafta binti kwa ajili ya kazi mbalimbali kama dukani, ofisini, receptionist au yoyote ile ya halali basi kuna binti yupo Arusha miaka yake ni 22 ana elimu ya form four japo alienda chuo hakufanikiwa kumaliza kwa changamoto za ada. Kwa aliye tayari...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanafunzi chuo cha DIT kinaweza kubeba

    O level nina C phyz C math ma C chemistry.. kwaio nitapata nikiapply?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanafunzi chuo cha DIT kinaweza kubeba

    Haina mbaya mkuu
  13. G

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanafunzi chuo cha DIT kinaweza kubeba

    Mkuu mm nina DDE ya PCB Kwahio nimeona tu bora niende diploma ya mechanical engineering sasa nimeuliza ili niwe na uhakika wakupata kuchaguliwa endapo nikiapply maana dirisha walifungua toka june sasa uskute labda hadi saiv washaa jaa nafac zikawa hamna japo nina vigezo vya hiyo kozi ya diploma...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuapply Ordinary Diploma

    Asante sana mkuu
Back
Top Bottom