Gharama za kuapply Ordinary Diploma

G-stev

Member
Aug 24, 2020
9
2
Wakuu, naomba msaada, eti ukitaka kuapply Diploma kuna gharama yoyote nyingine zaidi ya kulipia ile elfu kumi kwa kila chuo utakachoomba?
 
Hakuna gharama wewe andaa pesa ya kuappy ila itategemea garama za vyuo nitofaut ktk kua apply ko ikiwa utaa apply vyuo zaidi ya kimoja basi gharama itabidi uongeze ila hakuna gharama nyingine ktk kuomba ordinary Diploma zaidi ya hizo
 
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom