Recent content by G man

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    nenda upanda pale ngome utajibiwa kila swali kwa umakini zaidi bila upungufu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Maajabu yatokea Tanga: Sura ya Nyerere na mama Maria Nyerere zaonekana kwenye mwembe

    Huo mti ni natural wala c kuchongwa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Maajabu yatokea Tanga: Sura ya Nyerere na mama Maria Nyerere zaonekana kwenye mwembe

    ndugu yangu cyo kwamba ni uongo ni kweli kabixa uliza kama una rafiki tanga au ndugu c rahixi kuamin mim nilivyokwenda nikaamini leo clouds pia wamelizungumzia hilo jambo ingia facebook kwenye page yao uta amin
  4. G

    JamiiForums Tanzania Maajabu yatokea Tanga: Sura ya Nyerere na mama Maria Nyerere zaonekana kwenye mwembe

    iyo taarifa ni kweli cyo uongo watu wanajazana xana. Kipindi cha ucku xababu ucku taswira inakuwa nzuri zaidi
  5. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    ndugu yangu ni sawa wala c upendeleo.ni sawa na kusema kwanin mtoto wa raisi apanda kwenye gari la raisi . ndugu yangu hapo usapotiwi kabixa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    maneno yamkoxaji
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDOM waliofukuzwa masomo waanza kujiuza...

    huyo ndalichako cc madent katukaba kweli viwango vyake viko juu mno eti 34 ni F c balaa jamaan.kiufupi cyo sawa kuwafukuza hao wanachuo amekosea kabixa.
  8. G

    JamiiForums Tanzania NSSF wakataa kutumia jina la 'Mwalimu Nyerere Bridge' badala yake wanaita 'Kigamboni Bridge'

    Cyo mbaya kuitwa jina la mahali kwan huyo nyerere tumuenzi mara ngapi mambo mengi hususani ya kimiundombinu ni yeye achenu fikra fupi.kutumia majina ya viongoz kwa wingi haina faida yeyote jina la mahali latosha hata cc tumechoka imekuwa kila kitu jina la mtu tunapoelekea mkoa itajaitwa jina la...
  9. G

    JamiiForums Tanzania UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

    me nipo Real madrid
  10. G

    JamiiForums Tanzania Raymond - Natafuta Kiki (WCB new song)

    jamaa wangu we ni mtu ligi waonekana
  11. G

    JamiiForums Tanzania Moro Town: Mji unaoongoza kwa wajanja Tanzania

    uliyepost ujiamin kabixa et nazungumzia moro ya ile ya 90 had 20000 hivyo hataukitudanganya hatujui acha hizo bhana
Back
Top Bottom