Idadi ya waarabu ni kubwa kuliko hao Bebers kwa mfano Morocco Berbers wapo kati ya milioni 14 au 15 kati ya Morocco milioni 37 na kidogo, na hiyo ndiyo nchi yenye Barbers wengi au Amazigh ikifuatiwa na Algeria
Wapo wachezaji wanaopambana kujiendeleza kitaaluma, nimewahi kusoma chuo na Mwegane Yeya ambaye alikuwa mchezaji wa Mbeya City ile ya moto, alikuwa akisoma BBA na sasa ni meneja wa Mbeya City sitoshangaa huko baadaye akigombea nafasi za juu TFF
Luhaga Mpina alisimama kama mbunge wa Kisesa, ni mbunge wa wanajimbo wote bila kujali ni CCM au wanachama wengine na alikuwa akiwasilisha hoja zake kwa Rais wa nchi kwa wakati huo na siyo mwenyeketi wa chama cha mapinduzi. Mambo ya CCM mtayajadili kwenye mikutano yenu ya chama huku mkiwa mmevaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.