Recent content by Future neural surgeon

  1. Future neural surgeon

    Inawezekana kupata nafasi ya pili chuo cha MWEKA baada ya kukosa nafasi ya kwanza?

    Sawa basi kila la kheri, Mungu akujalie upate nafasi pale ...
  2. Future neural surgeon

    Inawezekana kupata nafasi ya pili chuo cha MWEKA baada ya kukosa nafasi ya kwanza?

    Uwezekano wakupata upo ikiwa umekidhi vigezo vyao, lakini je nikuulize unazifahamu gharama za chuo cha mweka??
  3. Future neural surgeon

    University Admission Results 2020

    Jamani kuweni makini kabla ya kupost kutoa taarifa, ile ni selection ya postgraduate na sio undergraduate applicant,, tusikurupuke tu!!
  4. Future neural surgeon

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Hii ndio sahihi, ile ya kwanza iliahirishwa, maana ya kwanza inasema maombi ya vyuo yalianza trh31/08 lkn badala yake yakaanza trh 26/08 kulingana na hii ratiba ya sasa
  5. Future neural surgeon

    Result Slip za kidato cha VI 2020 zinatoka lini?

    Namaanisha, trh ya kuripoti vyuoni ni trh 23 november kulingana na academic calendar ya tcu , sasa ni vyema kuwa na result slip mapema kabla ya muda huo, maana pia kuna maandaliz ya kwenda chuon
  6. Future neural surgeon

    Result Slip za kidato cha VI 2020 zinatoka lini?

    Zimetoka tarehe 7/9/2020 na necta walizisambaza kwa maafisa elimu ili wakuu wa shule mbali mbali wazichukue, ivo kwa muda wote huo nadhani zimeshafika mashuleni , cha kufanya Wasiliana na academic wa shule uliyosoma ujue kama alienda kuzichukua upate uhakika uwahi mapema maana ratiba ikibana...
  7. Future neural surgeon

    Msaada: Naona ufafanuzi napoweza kusoma kozi ya Wildlife Menagement

    Mkuu mweka ni chuo kizuri sana hasa kwa koz ya wanyamapori, lakini changamoto yake ni ada yake na michango ipo juu mno, kozi ya wildlife kwa Sua ni 1,262,000/=TSh lakini mweka inafika 4,675,000/=Tsh kwa mwaka iyo ni school fee pekeyake na hapo bado gharama nyingine za hostel na direct cost...
  8. Future neural surgeon

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Bsc in clinical nutrition and diebetic

    Inatolewa chuo kiuu cha Dodoma (UDOM) kuhusu inahusika na nini tuwangoje wataalamu wanaoijua vyema
  9. Future neural surgeon

    Kwa ufaulu huu atapata chuo cha serikali kwa udaktari-degree

    Kwanza nimpongeze kwa matokeo mazuri, Bila shaka atachaguliwa moja wapo ya hivyo vyuo ulivyofanya application, japo naona kcm na st.francis atapata kiurahic zaid
  10. Future neural surgeon

    Msaada katika hili tafadhali

    Hapana mkuu , bodi inafadhili kwa ngaz ya degree pekeake
  11. Future neural surgeon

    UDOM: Invitation To Apply For Admission Into Undergraduate Degree Programmes For The Academic Year 2020/2021

    Duh hawa UDOM wanazingua sana hususa kwenye upande wa customer care hawana kabisa. Mimi pia nina shida kama yako mwaka jana niliapply nikakosa udom mwaka huu nafanya application naambiwa siwez kujisajili tena na nikiingia account niliyotumia kuapply mwaka jana hairespond na hainiruhusu kufanya...
  12. Future neural surgeon

    Wakuu naomba mnielekeze huyu anaweza kusoma au kupata shahada?

    Umejitahidi mkuu, nukushauri uende diploma ya afya hutojutia, kwa alama ulizopata umekosa point moja ili kukidhi kigezo cha kwenda chuo.. Maana chuo wanahitaji point nne katka masomo mawili ambapo uwe na kuanzia D mbili..
  13. Future neural surgeon

    Ushauri wenu kuhusu kozi ya kusoma kwa matokeo haya

    Kwa MUHAS kupata MD ni ngumu kwa division two, maana mwaka huu one zipo nyingi na kila mtu mawazo ni kusoma muhimbili, nikushaur usifanye makosa kuapply, angalia vyuo vya private kama st.john koz kama nursing na pharmacy hutokosa.. Pia kwa MD angalia zaid bugando unaweza kubahatika, ni kweli...
  14. Future neural surgeon

    Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

    Ndio mkuu.. Nilituma cheti tarehe 29 mwez wa 7 leo tarehe 14 mwez wa 8 bado hawajaleta majibu mkuu.. Nashindwa kuelewa na deadline ya mkopo inakaribia
Back
Top Bottom