Recent content by Future eyes

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Open university unalipa kulingana na uwezo wako, unaweza kuwa unalipia 50000 kila mwezi mpaka utakapomaliza wala hawans shida na wewe
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Open unaomba tu wala hakuna haja ya kusubiri dirisha la udahili
  3. F

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Habari za Leo mkuu,naomba kuuliza Kwa tulifanya mitihani mwezi wa pili mwaka huu Kwa makadirio matokeo yetu yanaweza kutoka lini ? maana hatuelewi kabisa
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nini tofati kati ya Technician Certificate na Basic Technician Certificate in primary education?

    Diploma in primary education IPO chuo kikuu huria cha Tanzania na Taasisi ya elimu ya watu wazima Kwa in service
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Kwenye hii solution kuna shida kwani kwenye swali kuna X je baada ya kugawanya Kwa 8x hiyo X ilipotelea wapi?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta softcopy ya notisi za kiswahili kidato cha pili

    Ingia play store upakue school pvh
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniambia nikichepuka ataondoka na mtoto wangu na sitampata kamwe, yametimia ameondoka na mtoto nifanyeje?

    Ina maana hiyo mtoto siyo wako na kaburi atakaloonyeshwa mtoto kuwa ni la Baba yake ndilo la Baba yake sahihi na kama ataolewa na mtoto apewe Yule jamaa basi hiyo ndiye Baba yake halali hiyo mtoto,karibu kuwa unaelewa kila NENO analoongea mwanamke ,huwa hatanii Ila huwa inaakisi ukweli wake...
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

    Na je mkiwa kila mnapoongea anakwambia wewe utapigwa na wifi huwa ina maana gani?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa Mtu Aliyesoma certificate ya Ualimu Grade A afanye nini Kujiendeleza

    Aende akasome diploma institute of adult education,open university of Tanzania au colleges zinazotoa kozi hiyo
  10. F

    JamiiForums Tanzania UALIMU: Muongozo kwa vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu (Arts) kwa ngazi ya Certificate na Diploma

    Kwanini asisome colleges kwani mpaka asome universities?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata past papers za NECTA za SFNA(darasa la nne)

    Pakua application inayoitwa tz shule utakutana nazo za kutosha level zote
  12. F

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu: Uzi maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa Open University Tanzania (OUT)

    Kama unasifa mikopo wanapewa ila Boom hakuna
  13. F

    JamiiForums Tanzania Masters ya Open University na ile ya Udsm ina utoufauti gani?

    Out ndo chuo pekee chenye wanafunzi wengi na wenye uwezo kuliko hao waliodisco , na pia ni tofauti kulingana na nature ya delivery ya materials na ukimleta mwanafunzi wa udsm lazima adisco
  14. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vinavyotoa Bachelor of Science with Education vyenye ada nafuu

    Je ubora wa elimu inayotolewa pale ipoje?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Masters ya Open University na ile ya Udsm ina utoufauti gani?

    Kitu ambacho hukijui ni kuwa lecturers wa OUT wengi wamesoma udsm, tumaini, sua na kwingineko
Back
Top Bottom