Jamaa wamevamia benki kuiba, mkubwa wao akawaambia wateja wote na wafanyakazi ndani ya benki: Laleni chini na kila mtu atulie jinsi alivyo. Hela ni mali ya serikali, uhai ni mali ya Mungu. Nyie hamna chenu. Kila mtu akasalimu amri akalala chini. Hiyo inaitwa: "Falsafa ya kubadili fikra za watu"...
Nimekupata mkuu mwenyewe nilimaliza chuo 2015 nikachukua masalia ya bum yalikuwa kama 1.5 ml hivi nikafungua biashara japo yakazalaulika kwa mtu mwenye bachela kufanya ila sasa nina miaka miwili kasolo mwezi mmoja kamtaji 7 ml naona kanaonekana na mengine mengi yakutumia pesa nimefanya TUACHANE...
We huoni vinashabiliana vip jaman ! Kumbuka pesa zote ni za selikali! Na yote ni matumizi ya serikali so inaweza badil matumiz toka kununua ndege kwenda kwenye mishahara ya wafanyakazi
Ukijifanya elimu élimu utaishia kukaa na vyeti, halafu huna chochote had hela ya kunyolea ndevu unaomba kwa babaako, Ni aibu aisee. Upande wangu wazo zuli ila mm Dar ckufahamu vizur kama c kabisa, nadhani wanaokufahamu watakushauli mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.