Hamna mabanda hapo. Banda la kuku linajitaji mzunguko wa hewa na yeye amejenga kama godown. Ugonjwa ukiingia hapo say kuharisha haponi hata kuku mmoja.
Pia issue ya madawa ame underrate sana. Broilers wana chanjo za lazima achilia mbali wakiumwa. Nina uzoefu wa ufugaji mwaka wa 15 sasa na...
Ninafanya hii biashara miaka zaidi ya kumi na ninafuga kuku zaidi ya hao uliowataja.
Kuku hawezi kuuzwa ndani ya wiki mbili hiyo haiwezekani abadan. Kuku 2000 wanakula viroba zaidi ya 60. Kuku kuuzwa kwa 6500 ni nadra sana wanacheza 6000 mpk 6300. Ujenzi wa mabanda yako hauingizi hewa...
Muungano upo katika mambo manne tu ambayo ni
1. Ulinzi
2. Mambo ya ndani
3. Mambo ya nje
4. Fedha
Tuangalie katika wigo huo. Issue hapo iko kwenye fedha ndio kuna ukakasi haswa kuhusu hiyo 4.5% ya Zanzibar