Recent content by Funuki Nungula

  1. Funuki Nungula

    JamiiForums Tanzania Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

    Boss umesoma hayo ili kujinadi na sio kuelewa
  2. Funuki Nungula

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania inaweza kutokomeza tatizo la kukata kwa umeme

    Utangulizi: Ndani ya makala hii viongozi na watanzania wote wataweza kutambua sababu za kwa nini Tanzania inaweza kutokomeza tatizo la kukata kwa umeme ovyo ovyo. Tanzania ni nchi ambayo ni miongoni mwa ñchi zinazoendelea. Pia ni nchi ambayo bado haijaimarisha miundo mbinu ya nishati ya umeme...
  3. Funuki Nungula

    JamiiForums Tanzania SoC03 Shujaa mwenye nguvu asiyejua kutumia silaha zake tena ni kipofu

    UTANGULIZI Katika makala hii utaweza kujifunza juu ya shujaa huyu mwenye nguvu asiyeweza kutumia silaha zake, tena ni kipofu. Shujaa ni neno lililotumika kuwakilisha bara ambalo lina vyanzo vingi vya kuingiza kipato. Vyanzo hivyo vimewakilishwa na neno "SILAHA". Bara hili halioni fursa...
  4. Funuki Nungula

    JamiiForums Tanzania SoC03 Magonjwa kumi(10)hatari yanayoua taratibu lakini kwa uhakika

    Duniani yapo magonjwa mengi sana ambayo yalitokea na kupotea na mengine bado yanaendelea. Na magonjwa mengine yanatisha watu wa rika zote na watu wa vyeo mbalimbali. Lakini Mimi napenda kukufahamisha magonjwa kumi(10) ambayo wanasayansi na madaktari bingwa hawajakuambia kuwa yapo na yanauwa Kama...
  5. Funuki Nungula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno matano ya kutamka kwa mwenza wako

    Wanandoa wa karne hii wamesahau maneno matano muhimu kwenye ndoa nayo yanaifanya ndoa kudumu. Yafuatayo ni maneno muhimu katika ndoa; 1. NINAKUPENDA Tafakari jinsi ulivyokuwa unalitaja(tamka) neno hili wakati wa uchumba wako. Sasa jiulize je unalitendea haki katika ndoa yako?. Kama...
  6. Funuki Nungula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urafiki hadi ndoa

    Ukitaka uharibu Mambo yako no kuwa na haraka. Urafiki na mwenzi wako mtarajiwa unatakiwa uchukue miezi sita Hadi mwaka ndipo utoe haja ya moyo wako kwa rafiki yako. Kwa utakuwa umemuelewa vizuri tabia yake
  7. Funuki Nungula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urafiki hadi ndoa

    Achana na sura maana sura ni ua Kama maua yawekwayo juu ya kaburi,lakini ndani yake utashangaa!!!!
  8. Funuki Nungula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urafiki hadi ndoa

    URAFIKI HADI NDOA Vijana wengi wanaingia katika matatizo wakati wa ndoa zao kwa sababu wanasahau kiungo muhimu Cha ndoa. Kiungo hiki ni urafiki, yaani kijana wa kiume au wa kike anatakiwa kumfanya rafiki Kwanza mtu yule ambaye anategemea kuwa mwenza wake. Ili amjue tabia yake Kwanza ndipo...
  9. Funuki Nungula

    JamiiForums Tanzania Matunda gani unaweza kula na wali/ubwabwa?

    NI tikiti maji
Back
Top Bottom