Funuki Nungula
Member
- Jan 12, 2021
- 9
- 9
- Thread starter
- #21
Achana na sura maana sura ni ua Kama maua yawekwayo juu ya kaburi,lakini ndani yake utashangaa!!!!Mkuu sisi ambao sifa kuu ya mke tunaangalia CHURA unatushaur vp
Achana na sura maana sura ni ua Kama maua yawekwayo juu ya kaburi,lakini ndani yake utashangaa!!!!Mkuu sisi ambao sifa kuu ya mke tunaangalia CHURA unatushaur vp
Ukitaka uharibu Mambo yako no kuwa na haraka. Urafiki na mwenzi wako mtarajiwa unatakiwa uchukue miezi sita Hadi mwaka ndipo utoe haja ya moyo wako kwa rafiki yako. Kwa utakuwa umemuelewa vizuri tabia yakeHuo urafiki unakaa mda gani sas ndo umwambie unampenda au ukishakua marafiki upendo unakuj automatic?
Unae mtu mmoja ambaye unamuita rafiki wa kweli kwako? Kama yupo basi kumbuka mlianzaje kuwa marafiki. Urafiki wa kweli huja/hutokea wenyewe wala hautengenezi mbinu ila flani awe rafiki yako. Ukifanya hivyo, basi urafiki utakuwa wa muda mfuoi sana, wala haudumu na utavunjika.URAFIKI HADI NDOA
Vijana wengi wanaingia katika matatizo wakati wa ndoa zao kwa sababu wanasahau kiungo muhimu Cha ndoa.
Kiungo hiki ni urafiki, yaani kijana wa kiume au wa kike anatakiwa kumfanya rafiki Kwanza mtu yule ambaye anategemea kuwa mwenza wake.
Ili amjue tabia yake Kwanza ndipo achukue uamuzi wa kuweka wazi nia yake(hisia zake).
Jambo hili litawafanya wanandoa marafiki kujuana mapungufu yao. Hivyo ni chanzo Cha kuwa na ndoa yenye amani na furaha.
Kwa hiyo nawashauri vijana ambao hawajaoa wasiruke hatua hii kwani ni hatua nyeti Sana.
. Umemaliza mkuu.....sura hata mbuz annayoAchana na sura maana sura ni ua Kama maua yawekwayo juu ya kaburi,lakini ndani yake utashangaa!!!!
Ila yupo alietengenezwa bila chura?Sidhan km Kuna mwanadamu aliumbwa Bila hips
Mda wote huo unasubir tu si utakuta njemba ingine imefanya yake au?Ukitaka uharibu Mambo yako no kuwa na haraka. Urafiki na mwenzi wako mtarajiwa unatakiwa uchukue miezi sita Hadi mwaka ndipo utoe haja ya moyo wako kwa rafiki yako. Kwa utakuwa umemuelewa vizuri tabia yake