Recent content by fungu la kumii

  1. fungu la kumii

    Kwanini Polisi wa Tanzania wanapenda sana kuweka watu mahabusu, kupeleka mahakamani na kujadili kuwafunga?

    Hakuna mtu mwenye chombo Cha moto Cha kibiashara anayependa kumuona police barabarani....
  2. fungu la kumii

    Nasema tusiwapishe viti wazee kwenye daladala, walichezea ujana

    Hafu kusimama dk 45 hakumtoi mtu roho ni sehemu ya mazoezi pia haswa kwa umri wao Endeleeni kukaza mpka wakome...
  3. fungu la kumii

    Wakulima Songea waililia Serikali kwa kupanda Bei ya mbolea -24/02/2022

    Unalima mahindi heka 20 hafu hupati pesa nzuri ila mtu anabustani tu ya nyanya heka moja au kabeji anakukimbiza kwa pesa...
  4. fungu la kumii

    Ukitaka kujua kama unapendwa kweli ugua

    Nimeoa mke mbinafsi sana mpaka najuta kwanini... Nilimuoa japo kanpa watoto wawili wazuri ila simtaki na nmemtafutia mbadala wake...pesa yake ni yake tu ukichukua hata miaa lazima irudi atakupigia kelele hata kwa mda wa miezi 6 mfululizo mpka utaitoa
  5. fungu la kumii

    Ni tukio lipi liliwahi kukukuta ambalo ilibaki kidogo kuaga dunia, kufungwa, kupata ajali, n.k

    Kuna watu wanapitia mapito mengi sana kiasi kwamba wakisema waviandike hapa vyote jf itachanika vipande vipande..
  6. fungu la kumii

    Ushauri wenu unahitajika

    Tatizo la pesa haibagui hata kama mtu kichwani ni mweupe kama chumvi inamfata hafu inapotea... Unapata pesa hafu hujui cha kufanyiaa
  7. fungu la kumii

    Kuna nini huko, mbona gunia la viazi Dar es Salaam ni laki 1?

    Viazi gani...? Viazi vitamu ama viazi ulaya(chipsi)... Sasa hvi mambo yamebadilika sana kilimo ndo kinaenda kuwa na hela Vijana wengi wameshika boda boda na bajaji...wako load hawataki tena kulima wanataka kununua...
  8. fungu la kumii

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Natamani sana nipate mawasiliano yako tujenge kitu..boss wangu
Back
Top Bottom