Recent content by fungafunga

  1. fungafunga

    Natafuta Landrover 109/110

    Natafuta landrover 109 au 110 short chasis iliyo katika hali nzur. Kama unayo tafadhali ni inbox tufanye biashara.
  2. fungafunga

    PPR na IPS zipi ni nzuri zaidi kwa mfumo wa maji safi (Baridi na moto) kwa nyumba?

    Hujajibu swali la mtoa mada ila umeishia kuleta mbwembwe za kijinga tu. Hatukutaka kujua umejenga nyumba yako kwa material za nchi gani.
  3. fungafunga

    Changamoto katika utumiaji wa mfumo wa TANePS

    Kuwa na bid ya chini siyo kigezo cha wewe kupata kazi.. Katika evaluation za tender kuna kitu kinaitwa “lowest evaluated bidder” Hii haimaanishi yule wa bei ya chini kabisa ndie apewe kazi. Bado kamati ya upembuzi wa tender inapitia hizo bei zako na kuona uhalisia ili kupunguza matatizo yasiyo...
  4. fungafunga

    Naingia Shambani very serious kulima Alizeti

    fisi 2 nakutafuta. Nichek inbox tuyajenge
  5. fungafunga

    Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

    Maisha yalikuwa mazuri sana.. Nikiwa darasa na kwanza 1987 nilifuatwa na school bus hadi mlangoni na kurudishwa hadi mlangoni.. baba alikuwa mfanyakazi katika moja ya shamba. Tulisoma na watoto wa kizungu. Life was good
  6. fungafunga

    Starring ya gari kuwa ngumu kukata kona.

    Hilo tatizo lilinikuta wiki hii.. Nilianza kuiona hiyo hali kidogo kidogo lakini baadae ikawa serious. Yani usukani mgumu sana na mngurumo wa ajabu hata sauri ya engine husikii.. Tatizo lilikuwa ni stearing pump ilikufa. Niliponunua nikafunga tatizo limeisha kabisa.
  7. fungafunga

    Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Ninapita hapo mara kwa mara katika shughuli zangu. Hawa watoto wamejiingiza kwenye kuvuta petroli na gundi za viatu ili kupata kilevi. Utaona wengi wao wamevaa mashati au masweta ya mikono mirefu na kuna kama chupa hivi kaifunga mkononi ndani ya hilo sweta na mara kwa mara ana nyanyua mkono...
  8. fungafunga

    Natafuta Spare na fundi wa BMW X3

    Nisaidie bwana.. nimekuchek inbox
  9. fungafunga

    Natafuta Spare na fundi wa BMW X3

    Mbona unanitisha bwana?? Kubadili shockups nipeleke gari nairobi???? Hapanaa...
  10. fungafunga

    Natafuta Spare na fundi wa BMW X3

    Wadau, Wapi ntapata fundi mzuri wa BMW X3. Nataka kubadili shockups
  11. fungafunga

    Kwanini Wafanyakazi wa TANESCO wananunua umeme ofisini?

    Mteule acha roho ya kimaskini!!
  12. fungafunga

    Uwezekano wa kilimo cha Karafuu, Tanga, Lindi na Mtwara

    Ndugu wanajamvi. Naomba wataalamu wa kilimo wanijibu swali hili muhimu ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa miaka mingi. Kama karafuu inastawi vizuri unguja na pemba ambayo ni kisiwa chenye hali ya hewa na udongo unaofanana na pwani ya tanzania bara hasa mikoa ya Tanga, Lindi na Mtwara. Hivi hakuna...
  13. fungafunga

    Nimeishi ughaibuni (Ireland) miaka 10, nikachuma pesa huko nikarudi kuwekeza nyumbani Tanzania

    Jamaa anaandaa mazingira ya kumuumiza mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. fungafunga

    Dar Village Project in Dar es Salaam

    Hongera Zadock
  15. fungafunga

    Mwenye kuijua Handeni anisaidie, nataka kufanya Kilimo cha Mahindi

    Njoo kusini hasa lindi. Maeneo yapo ni makubwa na maji yapo. Wasukuma wanahamia kwa kasi sana. Chukua maneno yangu utanishukuru baadae...
Back
Top Bottom