Bro kwa ufupi tu huyo hana hisia na wewe
Swala la kuridhika au kutosheka kingono ni mindset yako/yake jinsi ilivyo kwa wakati huo
Kama akilini mwako ukishaona huyu mwanamke hajui mapenzi hata siku moja hawezi kujua vivyo hivyo kwa mwanamke.
Kwa mfano angalia mwanamke mara nyingi akichepuka...
Ni kuhusu upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma unaoendelea mwaka huu,ni kazi nzuri ya serikali yetu kongole sana Rais wetu..
Swali ni je kuna watumishi walioko masomoni mpaka sasa vipi nao wanapanda?
Na kama hawapandi wakirudi kazini wakija kupanda cheo si watazidiwa muda wa cheo na wenzao...
Zipo sababu nyingi za kutengana na marafiki ila kwa upande wangu ni
Ubinafsi na dharau plus kujisikia flani hivi....
Yani mshikaji wako anajali mambo yako yaende wewe ukwame.
kuna mmoja huyo toka alivojipatia kazi sehemu akaanza kujikuta busy nikampunguza.
Kwani kunipa k mpaka nikupe hela?huwezi nipa kwa upendo tu?
Sasa tofauti yako na dada poa ni nini hapo!!?
Na je ukinipa k me pia si nakupa mboo,basi na we nipe hela....
Mbona wanawake mnakuwa selfish sana [emoji3]
Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?[emoji3]
That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine
Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa...
Yani najiuliza hivi kweli kitu gundu kipo au ni nadharia tu.
Kuna ile mtu anaambiwa we una gundu yani mambo yake hayatoenda na hatokaa afanikiwe katika jambo lolote abadani,kama ni mafanikio atayasikia tu kwa wengine,kuna hicho kitu nasikia sana kuhusu Gundu,sasa niwaulize wana MMU maana hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.