Recent content by fundinaizer

  1. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Wa kuivusha ccm 2030 ameshaandaliwa, na nyinyi mmejaa, CCM wajanja sana

    Kwani 2030 kuna uchaguzi? Bila kukiri kosa na watu kuwajibika huo uchaguzi labda watapiga kura wenyeviti wa mitaa na mabalozi..yani mlibaruza risasi hadi waliowapigia kura unategemea mtu atatoka hiyo siku. Sahau labda kama kuna mabadiliko yatafanyika kabla ya hiyo 2029-2030.
  2. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Lissu akashinda Kesi basi ulinzi wake uongezeke sana. Kuna watu hadi sasa washajipambanua wanaomba akutwe na Hatia

    Sasa watu milioni 31 si walipiga kura au alizuiaje uchaguzi? Waliochoma vituo si waliuawa na wengine mliwashika mbona mliwaachia?
  3. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Anaelekea kupata Mafao nimemshauri awekeze kwenye Bonds kakataa, anataka kufungua Baa

    Hapo ndo heshima huwa inaanza kuonekana kati yake na wana waliojikataa mwenye mifumo ya ajira..niseme namuonea huruma sana huyo mstaafu maana hayo maisha sitaki hata mwanangu aje ayapitie.
  4. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    Sauti mlioshirikiana kuizima Oct 29 haitakaa irudi tena.. wacha tupokee mafao ya ujinga wenu.
  5. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Askari wa TAWA auwawa

    Hivi unahisi watu watakaa kinyonge pia?
  6. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku ndege ya abiria kukatiza eneo hili la Anga ya morogoro

    😹 unaweza kukuta rada zenyewe mbovu
  7. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Ikijulikana mahakama ilidanganya kuhusu CDF itaaminika tena?

    Na tukumbuke maelezo ya hao wakuu wa vyombo yatakuwa katika document na yatarekodiwa for future use... Huko kwenye future use ndo majuu sasa..bora wadoji tu kesi iishe.
  8. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Ikijulikana mahakama ilidanganya kuhusu CDF itaaminika tena?

    Itathibitisha na itabatilisha kesi zilizopo nabzijazo kuwa hazina mbele wala nyuma na ni za uonevu dhidi ya upinzani.
  9. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Kiburi na Kaburi

    Afe mara ngapi.. huyo aliyeshika box ni mzimu wa aliyekufa 2017 kwa kupigwa risasi 24 Dodoma. Mnadili na nafsi yake
  10. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Lissu ninayemfahamu mimi kama wanadhani 'Prima Facie' itamnyenyekeza, wanakosea

    Hivi mfano mambo yakaenda navyoenda hukumu ikatoka jamaa anyongwe na hukumu ikatekelezwa nchi itakuwaje baada ya hapo.?
  11. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Sijaridhishwa na kitendo cha Freeman Mbowe kujumuika pamoja na Wanaotuua

    Swali langu ..kuna haja ya huyu mzee kuwa kwenye kamati kuu ? Taarifa za chama ziko salama kwa uwepo wa mjumbe huyu.
  12. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

    Kwani shida ni utu wake? Shida ni kuanza kutambua na kung'amua kipi ni cheusi kipi no cheupe... Huyu alijipambanua kutenganisha rangi ndo kosa ... Wapo wengi sana wanaoona hiyo rangi ila dawa ni moja ukaushe kama huoni au utambue rangi kisha uonyeshwe.
  13. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Hii dhana kuwa wanafunzi form six wanafaulishwa ina ukweli? Je taifa litakuwa na madhara gani huko mbeleni?

    Ukijiuliza kwanini wasomi wengi sahivi ni machawa basi jibu ni kuwa wanaandaliwa kwa mfumo huo.
  14. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Mikoa ya kipuuzi ni Kilimanjaro na Arusha
Back
Top Bottom