Recent content by fundi25

  1. fundi25

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Raisi atakuwa na mingapi wewe ukiwa na 57 kipindi hicho?
  2. fundi25

    Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...

    Israel watoa adi roho za wakristo pia Gaza kuna makanisa na wakristo wapatao 50elfu
  3. fundi25

    Makampuni yanayotengeneza Magari ya Umeme nchini China

    Siku hizi wana fanya kama mitungi ya gas ukienda kituoni wana weka ingine unaacha yako !
  4. fundi25

    Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    Apo ndiyo penye tatizo utasikia pita unywe ata tatu !
  5. fundi25

    Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

    Ni kweli makuzi ni suala moja kubwa sana ila kuna vichochezi ambavyo sio vya asili vijana wana patiwa! Inabidi wazazi watarajiwa wajuwe kuwalinda watoto kuanzia kwenye lishe na tabia! Aisee tatizo ni kubwa kuliko watu wengi wanavyo liona! Sijui kwanini wazazi wengi huwa hawana muda na watoto...
  6. fundi25

    Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

    habari za siku tele ! Hili suala ni kubwa sana mayai bwege ni hatari sana kwa watoto chocolate manukato ni hatari zaidi wewe huja wahi Kutana na manukato yaka kuletea kamsisimko! Taifa limekwisha hili siku hizi bar wanawake wengi wasagaji na wanaume wengi ni Mabwege !
  7. fundi25

    Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

    Vyakula muhimu sana kuwa navyo makini kwa watoto!
  8. fundi25

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Sio mbaya ibadilishe jina iwe redio tv !
  9. fundi25

    UN yakubali kushindwa mgogoro wa Ukraine baada ya kiev kushambuliwa

    kweli kabisa ata Ukraine wana juwa
  10. fundi25

    UN yakubali kushindwa mgogoro wa Ukraine baada ya kiev kushambuliwa

    Babu wa watu alikuwa na maumivu kwenye miguu ila alipona alitembea speed kama nyoka
  11. fundi25

    UN yakubali kushindwa mgogoro wa Ukraine baada ya kiev kushambuliwa

    Babu wa watu akasema nitorosheni jamani putin asije niangamizia huku nina wajukuu!
  12. fundi25

    Tuko tayari kwa lolote lile kutoka kwa Urusi - Biden

    Tuliaa wewee wanaume wana piga kazi sio nato hao
Back
Top Bottom