Recent content by fundi mwili

  1. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Polepole awaonya wote wanaomtukana Rais Magufuli kwa kisingizio cha kukosoa

    Saa 8 alihoji tu mtukufu aliipataje PHD yake akapotezwa mpaka leo hii atujui aliko.
  2. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Leo utawaona viti vya mbele ibada ya ijumaa kuu

    Mathayo 23:6 [6]hupenda viti vya mbele katika karamu, na kuketi mbele katika masinagogi,
  3. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Polisi Mwanza wavamia msiba wakihofia viongozi CHADEMA kufanya vikao vya siri. Mjane azimia...

    CCM wao wakiwa na misiba yao wanalindwa ipo siku.
  4. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wachukua Fomu za Kugombea Ubunge Majimbo Mawili. Salum Mwalim Juma (Kinondoni) na Elvis Christopher (Siha)

    Alisha sema mpelekeni mahakamani kama yeye ni fisadi.
  5. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Ukabila wa Lowassa hauvumiliki kabisa

    Mkuu mbona ukabila umeanza toka serikali hii ya awamu ya 5 ilivyoingia tu madarakani na ukuwahi kukemea.
  6. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

    Kwani kakulenga wewe
  7. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Hivi watanzania tutakuwa wasenge mpaka lini, utakuta police walikuwa kumi tu lakini wanatembeza kichapo kwa watu zaidi ya mia mbili.
  8. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nahitaji chumba cha kupanga

    Njoo tabata segerea maeneo ya ugombolwa vyumba vipo vingi sana.
  9. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Profesa Baregu; "Zamani Tulikuwa Tunafuta Ujinga Kwa Watu Wazima, Siku Hizi Wajinga Wengi Ni Vijana."

    Siitaji kupendwa na mtu yeyote ananipenda mke wangu inatosha.
  10. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Paul Makonda
  11. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

    Mi nipo tayari nitafute kwenye na hii 0759436131
  12. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Serikali ipi unayosema hapa mkuu hii hii iliyokuwa ikimkamata kila siku. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Daktari: Singh Sethi amewekewa puto tumboni, asipopelekwa hospitali atapoteza maisha

    Kuna waliosema Lowassa mgonjwa atakufa mwisho wa siku wamekufa wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. fundi mwili

    JamiiForums Tanzania Mapicha picha ya Kimbunga kilichoikumba Jimbo la Texas nchini Marekani

    Umejuaje kaacha familia inaangamia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom