Recent content by Fundi Mkuu Renny

  1. F

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Ndo ujue kutopuuza mitandao ya jamii
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na Intelligence ya G. Lema!

    Ukikosa cha kuandika uwe unakaa kimya..... Kama watawala wameamua iwe hivyo, unaitaka CDM ikapigane VITA?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    Tuseme Taifa zima, tulikuwa tunasubiria Orodha ya wauza 'Unga' aliyonayo Makonda...?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla ashambuliwa Twitter kwa kuwadharau wenye Digrii na wapo mtaani

    Je yeye amejiajiri? Basi aseme njia zipi alizipitia kujiajiri nasi tujifunze kitu
  5. F

    JamiiForums Tanzania Samahani walimu hivi mna mgomo?

    Tunaandaa wataalamu watakaosimamia Nchi yetu ya Vi-Wonder au huelewi ndugu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

    Nani amefanya Utafiti huo? Je ni aina ya wale wanaotuambia Ccm itashinda kwa 82% ili kutuandaa kisaikolojia?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

    Kabisa aise duh, Kila siku eti KAGERA
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

    Chunga sana watu wa aina hiyo ndugu. Usimwamini mtu ambaye si wewe mwenyewe, Trust no one
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

    SIdhani kama unaongoza kwa maambukizi, isipokuwa unaongoza kwa watu waliogundulika kuwa na Ukimwi. Mtu akipata Ukimwi Dar, Mwanza, analazimika kurudi home kwenda kujiuduzia kwao. Maoni yang tu
Back
Top Bottom